Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,099
- 127,838
Nimetoka kapa hapa.Aiseee kizungu ni shidaaaah
Wii nisubiri twende wote
Nimetoka kapa hapa.Aiseee kizungu ni shidaaaah
Marhaba mkwe umemuona paparazi mchokozi?
Huwa napenda kula ubongo
nimeandika kizungu wapi wewe?
Wii nisubiri twende wote
punguza hasira basi janeth1..
mimi si wakukuombeeni mambo hayo..
Tuombee baraka, si ndo nilitaka kushangaa rafiki yangu umeanza lini hayo majambo....
Heee mi ntajuaje sasa....ukiniuliza mume wangu Ntuzu ntakuambia yuko wapi
na wee shem ulikuweko acha kumpakazia bimkubwa..
heeeeeee