Zekidoni & Khantwe

Aah me na wewe undugu wetu upo likizo. Hadi uachane na huyo nani ako sijui mwenyewe



Hahahaaaa anavyonipa Khantwe siwezi kuvipata popote pale!

Mtajiju na ukoo wenu mi sipo!
 
Last edited by a moderator:
We mwana tabia ya kuchukia watu amekufundisha nani?

bimkubwa naomba nisikilize ujue bila kiwatengu kina shangazi wasingetuita sisi wakimbizi, baba saizi anadai kina ant watajiju na ukoo wao unaona kafanya jema? labda nikae na wewe mom utuambie baba yetu ni nani na yuko wapi?
 
Last edited by a moderator:
bimkubwa naomba nisikilize ujue bila kiwatengu kina shangazi wasingetuita sisi wakimbizi, baba saizi anadai kina ant watajiju na ukoo wao unaona kafanya jema? labda nikae na wewe mom utuambie baba yetu ni nani na yuko wapi?

Heri wajue ukweli mapema... shangazi zako wana akili sana!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…