Zekidoni & Khantwe

mkuu tahadhari yako ni yakuchukua kwa uzito wake..
sema "zimwi likujualo halikuli likakwisha"..

ni kweli kwa sbb itafika mahali mkeo amkubalie tu.. uzuri wake bi kwamba atatangaza kuwa yy ni mchepuko tu..

cc Mr Rocky vs Dena Amsi
Ntuzu vs@khantwe (wakwe zangu) mama mkwe alipiga kelele weee mwisho wa siku kainua mikono.. same to DA.
 
Last edited by a moderator:
hapana bango sijaliona

Basi tuyamalize hapa hapa ili kama vipi nijue mbivu au mbichi...!
..naomba uwe barafu uneyeihuisha na kuipoza nafsi yangu..
..naomba uwe kipenzi changu wa moyo..! a.rahabu nitakupa mahaba yote ya humu duniani..teeh!
basi tafakari maneno yangu mrembo...!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa una raha mkeo mpole ye huwa hapigi kelele anapita kimya ila anakujulisha kuwa amekuona....

Mbona nina karatasi la talaka hapa, kila siku naliangalia tu..lol
 
sasa si unieleweshe kidogo tu....

Yaani namheti kiwatengu mimi cheki alivovuruga ukoo mzima ndugu wanagombana, kina shangazi wamechachamaa hadi naogopa kuingia humu ndani nimekaa tu huku nalia mie...
 
Last edited by a moderator:
ni kweli kwa sbb itafika mahali mkeo amkubalie tu.. uzuri wake bi kwamba atatangaza kuwa yy ni mchepuko tu..

cc Mr Rocky vs Dena Amsi
Ntuzu vs@khantwe (wakwe zangu) mama mkwe alipiga kelele weee mwisho wa siku kainua mikono.. same to DA.

Yaani wewe ukiingia tuu huku unanzana na mimi na mchepuko wangu miss chagga
Siku hizi miss chagga amepata buzi la kutoka Geita Gold mine lina hela hilo ndo kaishaia huko aise ]
Mimi na mke wangu Dena Amsi tumebaki kama tulivyoanza wapendanao halisi
cc kiwatengu
 
Last edited by a moderator:

jioni nitakuwa maeneo ya car wash moshono... nipitie upate Ndovu special malt mbili tatu..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…