huo mtandao ulikuwa unatumika vibaya kwa mtu binafsi akiwa na chuki na mtu flani anatuma picha na kucomments mambo mabaya hata ya uongo chini yake ,huoni hiyo ni kuharibu muonekano wa mtu na kuingilia uhuru wake? japo wengine walikuwa kweli wanatabia hizo lakini ukweli ni kwamba its no body's business, kwa mfano wewe umejandika hapo kwenye status kwamba yo yo loves shoriz, tunajuaje labda unapenda mijimama ikuleee na kukuhudumia, labda unapenda vitoto vya shule kama babu seya, labda unapenda kuwamega na kuwadump mradi waingie kwenye list yako ya jump offs , but ma point is wat ever u r doing wid em shoriz its none of our damn business kapish?ubaya wa zeutamu ni upi? usiniambie nika google au unipe link....sema wewe ujuavyo ubaya wa zeutamu ni upi?
aisee ....kuwa na chuki ni tatizo la zeutamu? au lako mwenyewe......huo mtandao ulikuwa unatumika vibaya kwa mtu binafsi akiwa na chuki na mtu flani anatuma picha na kucomments mambo mabaya hata ya uongo chini yake ,huoni hiyo ni kuharibu muonekano wa mtu na kuingilia uhuru wake? japo wengine walikuwa kweli wanatabia hizo lakini ukweli ni kwamba its no body's business
aisee ....kuwa na chuki ni tatizo la zeutamu? au lako mwenyewe......
....tatizo lako zeutamu ni nini? comments? picha unazotuma ww? au chuki zako kama ulivyosema?
waliotoa thanks woote hapo juu hamnazo kama wewe.......wanatoa thanks kwa tetesi iliyodumu kwa wiki zaidi ya 2? tetesi gani isiyokuwa kweli wiki zoote hizo?....Acha ujinga wewe...unga tela utoe thanks hapo juu
MkuuAcha ujinga wewe...unga tela utoe thanks hapo juu
waliotoa thanks woote hapo juu hamnazo kama wewe.......wanatoa thanks kwa tetesi iliyodumu kwa wiki zaidi ya 2? tetesi gani isiyokuwa kweli wiki zoote hizo?....
hao followers wako yaani hamnazo kweli yaani bado wako wame stay tuned bwahahahaha wanasubiri uwape update.......
Mkuu
unajua kuna watu wagumu sana kuelewa ila tartiiib wanakuja kufunguka vichwa vyao.
BTW
thanx kwa kuleta ishu hii hapa kwani mpaka sasa Media za bongo zinasita kuingia kiundani ktk suala hili. sanasana MWANANCHI wamejaribu ingawa authorities wamefunga milango ya habari....
Wewe tatizo la zeutamu ni lipi? msifate mkumbo mtajalia tena 2010.....Mkuu
unajua kuna watu wagumu sana kuelewa ila tartiiib wanakuja kufunguka vichwa vyao.
yaani bado tu unampongeza mzushi nyani ngabu kwa tetesi? ama kweli watz tangu 18 mpaka leo ni tetesi bwahahahahaBTW
thanx kwa kuleta ishu hii hapa kwani mpaka sasa Media za bongo zinasita kuingia kiundani ktk suala hili. sanasana MWANANCHI wamejaribu ingawa authorities wamefunga milango ya habari....
hao mashori 46 sio makini......umeona shori makini kama my dear WoS kakupa thanks?Una wish ungekuwa na followers kama hao....unajua kati ya hizo mtu 46 shori ni ngapi?
hao mashori 46 sio makini......umeona shori makini kama my dear WoS kakupa thanks?
Pamoja na hayo. Defence lawyer will have a field dayna hizo picha! Hebu eleza mahakama hii picha inaonyesha nini? Pamoja na media kutoruhusiwa, bila shaka watakuwepo watu kibao ambao walikuwa hawajawahi kuziona hizo picha. Wote hawa watapata cha kusimulia.
Amandla.....
Ila kwa nini usiifufue? Hivi mtu huwezi anzisha zeutamu nyingine? Inaweza ikatofautiana kidogo na ya mwanzo. Tutakufuata huko kama ASALI WETU.
Kuna chemba koti wanaingia wachache tuu
Bado tu hao mashori 46 wanasubiri news bwahahahahahaNyepesi nilizopenyezewa sekunde chache zilizopita zinadokeza kuwa mmiliki wa ZeUtamu yuko karibu kuwekwa chini ya ulinzi bongo.....stay tuned...more to come
Bado tu hao mashori 46 wanasubiri news bwahahahahaha
ulikuwa unaipenda zeutamu?News zilishakuja...it's just you who is slow....you need to catch up...ain't nobody gonna slow down for your little ass
ulikuwa unaipenda zeutamu?
weka kwa kiswahili.......That's a no brainer