The Farmer
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,658
- 559
Speculations, stop please!
Abdulhalim said:Acheni ze komedi mazee..kuvisit site hata hao law enforcers wenyewe itabidi wajitie pingu..maana walienda kule kujua kunani kwa hiyo wasituyeyushe wala nini..
Hii case ni ngumu sana, unatakiwa uwe na mwanasheria wa uhakika. Kwa wale wote wanaojijua ni victim wa hili sakata tuwasiliane as soon as possible kuweka mambo sawa mapema, haraka na upesi.
hahahaha sasa na wale waliokuwa wamepigwa za utupu tutawafanyaje nao? Maana najua ni kosa la kisheria kupiga picha za utupu sasa itabidi nao tuwasimamishe kizimbani.
Acheni woga, kama mna-visit endeleeni tu.
Unayo hiyo sheria utupe mkuu, au ni maneno yako unatunga?
kwi kwi kwi kwi,Fidel kumbe na wewe ulikuwa mdau waku-comment sio? nakushauri ubadilishe uraia mara maja kabla hawajakufikia.https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon10.gifMkuu Invisible naskia hata watu walio kuwa wakicomment tutafuatiliwa sasa sijui hii ishu imekaaje maana hata serikali naona haijatamka lolote au wameshaona jamaa hana kesi ya kujibu?
kwi kwi kwi kwi,Fidel kumbe na wewe ulikuwa mdau waku-comment sio? nakushauri ubadilishe uraia mara maja kabla hawajakufikia.https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon10.gif
Mkuu nadhani jibu lipo kwenye post yangu ya mwanzo.nimesema kuna habari nyingi kwenye mitandao zinadai kuwa wewe upo karibu sana na Zeutamu.ni hivyo tu mkuu na kama ujaridhika na majibu yangu nitakupa link ujionee mwenye usije sema na kuchafua buree mkuu wangu Heshima mbele.Hahaha,
Ni kweli, mimi wewe na wengine sote tuna ukaribu na mmiliki wa Ze Utamu. Ni mwanachama wa JF na unaweza kufuatilia kuangalia wakati anai-promote tovuti yake hapa:
https://www.jamiiforums.com/313709-post226.html
na hapa:
https://www.jamiiforums.com/314650-post230.html
katika hii topic: https://www.jamiiforums.com/habari-...ze-utamu-blog-ni-aibu-kubwa-mno-kwa-taifahtml
Kwakuwa umeniuliza nikakujibu huenda nami ukanijibu nikikuuliza:
Hivi nani kakuambia hayo mkuu josm?
Kuna mtandao mkubwa sana utakaoshtakiwa, watoa comments, wapiga picha, pamoja na waliokuwa wakii-visit ile blog najua kuna wana JF wengi tu watakao simamishwa kizimbani.
Yaani huweziamini kama huyo kijana (sijui mbaba maana 39 amekwenda age) mzuri hivyo ameoza kichwani mwake!! Sitaki hata kukumbuka uchafu alikuwa akiuanika kule kwake!! Duh si mzima huyu hivi hana familia? Hajaoa?
Huko UK anafanya nini hasa kimaisha au ndo wale waliokwenda kutalii?
Mkuu nadhani jibu lipo kwenye post yangu ya mwanzo.nimesema kuna habari nyingi kwenye mitandao zinadai kuwa wewe upo karibu sana na Zeutamu.ni hivyo tu mkuu na kama ujaridhika na majibu yangu nitakupa link ujionee mwenye usije sema na kuchafua buree mkuu wangu Heshima mbele.
Mkuu JOSM ... sorry but i smell something fishy about you
kweli anastahili adhabu tena kubwa sana ikiwa ni pamoja na kumuomba mheshimiwa JK samahani na watanzania kwa ujumla ikiwezakana ikiwa ni pamoja na kifungo atobolewe na macho kabisa.hata kama ni mtoto wa kigogo tena hao ndio wanaharibu baadhi ya viongozi waadilifu ktk nchi kwa chuki za wazazi wao na kiongozi husika.nikweli hata mimi nimezisoma ktk chazo cha habari fulani ingawa wahusika wakutupa uhakika wa hapa nchini (manumba) na wa mahusiano ya nchi za nje nchini uk. baadhi ya watuhumiwa wakiwa marekani
hahhahahhaha sasa wakuuu naona badala ya ze utamu awe roho juuu na agonized imehamia kwenu maaana mnavyoshushuana? mhhhhhh now i too smell smthing fishyy ..... oh no smthing chickenyyyyyhaya kuhusu.Kaa kimya