Zay B vs Sister P

Zay B vs Sister P

Bongo bana unaweza kutengenezewa uadui na wengine nawe ukaufanya halisi mpaka kufikia hatua ya kumchukia mtu kweli kwa kweli
Hawa mabinti wawili walichonganishwa mbaya na media uchwara..hivi Leo hii wakiwa wamepotea kwenye anga za kuvuma na wakiwa wakubwa wanaojitambua hahawazi na kujuta kwa kuchonganishwa kwa malachi ya wengine?
No Zay B na Sister P
f35aef247d6c912be21d0cea7aea1463.jpg
951393632ade9ded1b64222dd9508ffa.jpg
Sista Pee kaolewa
 

Attachments

  • Sister Pee.jpeg
    Sister Pee.jpeg
    25.4 KB · Views: 16
Zay b alitamba na hii
Zay B sasa yuko gado mashairi yamejaa kisado... (kumbe ndio maana alipotea! Mashairi ya kwenye kisado si chochote kwenye game)
Sister P alivuma na hii
Anakuja...Anakuja....Sister P Anakuja (Ana haki ya kupotea... tendo la kuja ni la sekunde)
Fikilia use na punchline au bars za kujaza kisado hizo ni hits za miaka 10+
 
Hizo hizo media ziliwaweka kikaoni kuwapatanisha, Zay B akawa hataki kupatana na Sister P. Miaka imeenda siku hizi hao mabinti ni majimama watu wazima na hawavumi tena!
 
Back
Top Bottom