miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
mtani bana me sitaki leoWalishakulaga?![]()
![]()
![]()
![]()
mtani bana me sitaki leoWalishakulaga?![]()
![]()
![]()
![]()
Shikamoo Dadamtani bana me sitaki leo
marahaba totoShikamoo Dada
Eti Dada hawa wanaume wa humu ndani wanaaminika kweli?marahaba toto
Kama kitaa tu toto.. wapo wanao aminika na wasioaminika cheza karata yako vizuriEti Dada hawa wanaume wa humu ndani wanaaminika kweli?
.. usiogope idadi usiogope kupiga chini wasioeleweka ukimpata unayemtaka tulia mpende vilivyo ..Asante Dada hata Mshana?Kama kitaa tu toto.. wapo wanao aminika na wasioaminika cheza karata yako vizuri.. usiogope idadi usiogope kupiga chini wasioeleweka ukimpata unayemtaka tulia mpende vilivyo ..
Mshana hafai atakufundisha uchawi na ukishindwa kufuzu unalogwa wewe. Cha msingi njoo kwangu totoo.Asante Dada hata Mshana?
Nilimkubali sana Dataz,wasanii wa kike nchi hii sijui wana matatizo gani! hawana mwendelezo mzuri.Jamani mwingine ni Datas" yuko wapi huyu Dada? Tulikua naye pale lfunda Tech tunasoma.
Aku namtaka huyohuyoMshana hafai atakufundisha uchawi na ukishindwa kufuzu unalogwa wewe. Cha msingi njoo kwangu totoo.
Mshana ni mtu mzuri ila hawezi kuwa serious na weweAsante Dada hata Mshana?

Jamani Dada kwanini?Mshana ni mtu mzuri ila hawezi kuwa serious na wewe![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kama hupendi moyo wako nendaJamani Dada kwanini?
Kama hupendi moyo wako nenda
Mi namwambia aje kwangu eti anaringa..... Mwambie huyu mtoto mdogo, nawe dogo msikilize dada yako!Jamani Dada kwanini?
Miss Queen pendeka hapaMi namwambia aje kwangu eti anaringa..... Mwambie huyu mtoto mdogo, nawe dogo msikilize dada yako!