hili gari mume wangu tutatembelea wote ... utakuwa unaendesha tukiwa unaenda kwa ndugu zako usijali
naomba hela mume wangu
Ndoano hiyo sidhani kama atachomoa
Bora! Maana Na Mimi nilikuta nimechoka kwenda kwa amri za kijeshi km tuko vitani!
Kah! Mwanamke hujui kuongelea puani! Au kukegeza sauti!
Yani wewe ni kuja Hapa upesi! Kah!
Bora kinuke!
Rudisha hilo gari kwanza
Nilipokuoa nilikua Sina hata baiskeli lakini Leo tuna "mgongo Wa Kobe" huoni ni maendeleo hayo?
U don't appreciate what I ave as you promised "kwashida na raha" now unadanganyika na hzo gari ambazo Dubai wanatembelea police mweee haya mungu anajua
ulikuwa hujui kuwa mm ni KOMANDOO WA VITA TENA NI MWALIMU WA WANAWAKE sasa bora umetambua
nenda kwa haohao teambazazi wako WATAKUSUPPORT
elewa kuwa mm ni kiongozi wa TEAMRAFIKI hivyo usinichafulie jina langu
hapa wale ninaowaongoza watajua kiongozi KESHAKAMATWA na kumbe si chochote
Alafu kikinuka tayari ulishapata kambi raha sn!
Khantwe ebu njoo mpnz wangu umuone Huyu anataka kunipa kesi ya ubakaji kisa yeye KOMANDO!
ladyfurahia calm down my dear
we are all members of #team rafiki...na ni ruksa kuwa na mwenza..but no multiple relationships..ama?
Sitaki kuwa nae mwambieni kaka yenu asinilazimishe
Asha move on kaka yetu
AFADHALI NIPUMUE HAPA MJENGONI MAANA :cool2::cool2:
Asha move on kaka yetu
Binamu nyama ya hamu???! miss chagga unaitwa huku na binamu
Mbona nasikia kutajwatajwa mtaa huu kulikoni wifi?
Ndo nilichokuwa nakitarajia kwani ananichafulia hali ya hewa hapa ajui kuwa mm ni komandoo alidhani atavamia hovyo hovyo wakati watu tunaendesha mahammer ya bei mbaya aende na ubahili wake huo