Zawadi yako Miss Chagga

Zawadi yako Miss Chagga

nakupenda pia

Asante sana mpenzi wangu miss chagga
cc gwijimimi

user-offline.png
Mr Rocky nA Bulldog MKIMUONA HUYU MTU PITENI MBALI KASEMA ANAUA LEO.... mimi sipo ila nakiupenda sana binamu na mpenzi wangu Mr Rocky i love u sana your one and only

Hapa naona kama kichwa kinauma uma hivi Bulldog hebu ninunulie panadol asie naona kichwa kinaniuma kiaina hapa
Halafu hayo maandishi ya gwijimimi kama yamekaa kifaransa vile na mimi sikielewi hebu nitafasarie tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Asante sana mpenzi wangu miss chagga
cc gwijimimi

Kova ameweka ulinzi kama kwa watoto wa mbwa

binamu aliyekwambia kuwa mm ni mke wa Ntuzu ni nani? na nani ameadhinisha jambo hilo?

MM SIO MKE WAKE NAOMBA MFUTE KAULI HIYO NINA MUME WANGU HAPA MJENGONI
MSINICHAFULIE JINA LANGU HAPA BINAMU NILIKUWA NAKUTEGEMEA NAONA SASA
UMESHALISHWA YABINI NA HONGO TOKA USUKUMANI HIVYO SITAKI MNITANGAZE NDOA
NAYE HUYO SI MUME WANGU KABISA NASEMA SITAKI

ACHENI KUNICHAFULIA HALI YA HEWA HAPA MUME BONGO!!!! Thubutuuuuuuuuuu

Asante sana mkuu Bulldog miss chagga tutadrive hii wakati tunaelekea kumtembelea Ntuzu na mke wake ladyfurahia na Tized
 
Last edited by a moderator:
binamu aliyekwambia kuwa mm ni mke wa Ntuzu ni nani? na nani ameadhinisha jambo hilo?

MM SIO MKE WAKE NAOMBA MFUTE KAULI HIYO NINA MUME WANGU HAPA MJENGONI
MSINICHAFULIE JINA LANGU HAPA BINAMU NILIKUWA NAKUTEGEMEA NAONA SASA
UMESHALISHWA YABINI NA HONGO TOKA USUKUMANI HIVYO SITAKI MNITANGAZE NDOA
NAYE HUYO SI MUME WANGU KABISA NASEMA SITAKI

ACHENI KUNICHAFULIA HALI YA HEWA HAPA MUME BONGO!!!! Thubutuuuuuuuuuu

Kimenuka hapa mchana kweupe
Binamu ladyfurahia wala sijalishwa jibini na hongo huko usukumani kwanza sina mpango wowote na hao watu wa fujo na kulkazimisha kupendwa Ntuzu mwenyewe anatangaza ndoa kati yako na wewe na sisi hatuna idhini wala mamlaka kuingilia mapenzi ya watu wawili ndo maana tukakaa pembeni
Ila huu ni mzuka Ntuzu uko wapi uje uone huku kimenuka bana
cc Tized na mwallu na muuza ubuyu
 
Bora! Maana Na Mimi nilikuta nimechoka kwenda kwa amri za kijeshi km tuko vitani!

Kah! Mwanamke hujui kuongelea puani! Au kukegeza sauti!

Yani wewe ni kuja Hapa upesi! Kah!

Bora kinuke!
 
Last edited by a moderator:
Kimenuka hapa mchana kweupe
Binamu ladyfurahia wala sijalishwa jibini na hongo huko usukumani kwanza sina mpango wowote na hao watu wa fujo na kulkazimisha kupendwa Ntuzu mwenyewe anatangaza ndoa kati yako na wewe na sisi hatuna idhini wala mamlaka kuingilia mapenzi ya watu wawili ndo maana tukakaa pembeni
Ila huu ni mzuka Ntuzu uko wapi uje uone huku kimenuka bana
cc Tized na mwallu na muuza ubuyu

Alafu kikinuka tayari ulishapata kambi raha sn!

Khantwe ebu njoo mpnz wangu umuone Huyu anataka kunipa kesi ya ubakaji kisa yeye KOMANDO!
 
Last edited by a moderator:
user-offline.png
Mr Rocky nA Bulldog MKIMUONA HUYU MTU PITENI MBALI KASEMA ANAUA LEO.... mimi sipo ila nakiupenda sana binamu na mpenzi wangu Mr Rocky i love u sana your one and only

Heeee #rocky nani ?
we mwanamke nijupende VP au mpaka nivue nguo nibaki uchi unione chizi?
Huyo so called cousin nimewaona mnaingia kagame lodge sijasema kitu
Mmepiga picha mnaoga now huyo rocky uwiii hvy nikikukili na ww mungu si atanisamehe tu
 
Asante sana mpenzi wangu miss chagga
cc gwijimimi

Hapa naona kama kichwa kinauma uma hivi Bulldog hebu ninunulie panadol asie naona kichwa kinaniuma kiaina hapa
Halafu hayo maandishi ya gwijimimi kama yamekaa kifaransa vile na mimi sikielewi hebu nitafasarie tafadhali

Mr#rocky nakuheshim sana ila plz Mke Wa MTU Huyo
Sitajali we mwili jumba wala nn
Namwaga MTU mavi ila naomba isiwe ww maana Nana umeanza kununua ugomvi
HVO I lavu yuu unazompa Mke wangu kwanini usipeleke kwa mkeo na wanao ?
HV mnanitafuta nn kaki I wewe na huyo #bulldog ?
mwenzio kahonga gari kwann asimuhinge mkewe na wanae wakat tunawajua wanapanda Daladala daile?
T does not make any sense kumfanya mke Wa MTU mchepuko
Mmemfanya juz kasingizia an anaenda kwenye kitchen party kumbe kumpa mambo bulludogi?
Mwanawane this will be final warning
 
hili gari mume wangu tutatembelea wote ... utakuwa unaendesha tukiwa unaenda kwa ndugu zako usijali
 
Kimenuka hapa mchana kweupe
Binamu ladyfurahia wala sijalishwa jibini na hongo huko usukumani kwanza sina mpango wowote na hao watu wa fujo na kulkazimisha kupendwa Ntuzu mwenyewe anatangaza ndoa kati yako na wewe na sisi hatuna idhini wala mamlaka kuingilia mapenzi ya watu wawili ndo maana tukakaa pembeni
Ila huu ni mzuka Ntuzu uko wapi uje uone huku kimenuka bana
cc Tized na mwallu na muuza ubuyu
Sina la kusema Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom