ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
sina mume kwa hapa mjengoni na wala sihitaji kabisa bestito
Mumeo ni nani?
Mumeo ni nani?
safi sana mwachie Khantwe lege lege
Mr Rocky my darling dont worry your one and only relax... wahenga walisema mfa maji aishi kutapa tapa ... ila jua kila mtu anaweza maanisha tofautigwijimimi hebu muulize mkeo kwangu anakuja kufuata nini na kanga moko kila siku
Na anasema hana mtu ndo maana tumempenda na tunaprovide kwake kila kitu miss chagga huyo gwijimimi ni nani kwani mbona mimi na binamu yako Bulldog hatumfaham kabisa
gwijimimi hebu muulize mkeo kwangu anakuja kufuata nini na kanga moko kila siku
Na anasema hana mtu ndo maana tumempenda na tunaprovide kwake kila kitu miss chagga huyo gwijimimi ni nani kwani mbona mimi na binamu yako Bulldog hatumfaham kabisa
Mr Rocky my darling dont worry your one and only relax... wahenga walisema mfa maji aishi kutapa tapa ... ila jua kila mtu anaweza maanisha tofauti
Hapa ndo ulipojikatia ticket ya mabwepaNde uwiiii nilikua nakusubiria uthibitishe uwiiii
Kibali cha kuua ninacho
binamu aliyekwambia kuwa mm ni mke wa ntuzu ni nani? Na nani ameadhinisha jambo hilo?
Mm sio mke wake naomba mfute kauli hiyo nina mume wangu hapa mjengoni
msinichafulie jina langu hapa binamu nilikuwa nakutegemea naona sasa
umeshalishwa yabini na hongo toka usukumani hivyo sitaki mnitangaze ndoa
naye huyo si mume wangu kabisa nasema sitaki
acheni kunichafulia hali ya hewa hapa mume bongo!!!! Thubutuuuuuuuuuu
usijali mpenzi mimi siwezi kukuona unapoteanashukuru bestito kwani wewe ndo uliyenifumbua macho kujua kuwa huyu yuko teambazazi
gwijimimi mwambie mkeo miss chagga atulie aache kuchuna watu humu watammabwepande hapa bila kujua Mara kwa Ntuzu, mara kwa binamu nyama ya hamu Bulldog mara kwa Mr Rocky hajui watu wengine hazitoki bila malipo aise
Mr Rocky jamani nakupenda ypur one and onlyTized uko wapi aise umwambie utafiti kuwa binti yake anachuna mabuzi humu ndani mara kwa gwijimimi mara kwa Ntuzu mara kwa Mr Rocky mara kwa binamu nyama ya hamu Bulldog
Yani mtoto hatulii kila mtu anaambiwa honey kwa wakati wake na anachunwa kwa wakati wake
Mke wangu kipenzi Dena Amsi uko wapi njoo huku kuna katoto kalikuwa kanataka kunidanganya hapa na weupe wake ila nimekashtukia kuwa hakafai ni mapepe Ntuzu nakuachia miss chagga aise mpambane na gwijimimi huu mchanganyiko siuwezi aise
Mume wangu nakupenda upo wapi mbona sikuoni ..... hny naomba hela ya saluni kesho... achana na hao nawadanganya tu wewe ndo kama roho yangu usiniache.ukiniacha nitakufa mie
Mume wangu nakupenda upo wapi mbona sikuoni ..... hny naomba hela ya saluni kesho... achana na hao nawadanganya tu wewe ndo kama roho yangu usiniache.ukiniacha nitakufa mie
Mr Rocky jamani nakupenda ypur one and only
Mr Rocky weeeee jamani mbona maneno hivyo
Nishashtuka aise miss chagga hapa naona kfaransa tuu wakati mimi sikijui
Haya maneno anaambiwa gwijimimi mara yanageuzwa anaambiwa Ntuzu mara yanageuzwa anaambiwa Mr Rocky sasa yupi ni yupi na no one ni nani hapa
Nisijejikuta mimi ni no 100
Eti nini?