Zawadi yako Miss Chagga

Zawadi yako Miss Chagga

hili gari mume wangu tutatembelea wote ... utakuwa unaendesha tukiwa unaenda kwa ndugu zako usijali

Nilipokuoa nilikua Sina hata baiskeli lakini Leo tuna "mgongo Wa Kobe" huoni ni maendeleo hayo?
U don't appreciate what I ave as you promised "kwashida na raha" now unadanganyika na hzo gari ambazo Dubai wanatembelea police mweee haya mungu anajua
 
ulikuwa hujui kuwa mm ni KOMANDOO WA VITA TENA NI MWALIMU WA WANAWAKE sasa bora umetambua
nenda kwa haohao teambazazi wako WATAKUSUPPORT
elewa kuwa mm ni kiongozi wa TEAMRAFIKI hivyo usinichafulie jina langu
hapa wale ninaowaongoza watajua kiongozi KESHAKAMATWA na kumbe si chochote

Bora! Maana Na Mimi nilikuta nimechoka kwenda kwa amri za kijeshi km tuko vitani!

Kah! Mwanamke hujui kuongelea puani! Au kukegeza sauti!

Yani wewe ni kuja Hapa upesi! Kah!

Bora kinuke!
 
Nilipokuoa nilikua Sina hata baiskeli lakini Leo tuna "mgongo Wa Kobe" huoni ni maendeleo hayo?
U don't appreciate what I ave as you promised "kwashida na raha" now unadanganyika na hzo gari ambazo Dubai wanatembelea police mweee haya mungu anajua

Udiseme hivyo jamani nakupendaga bado tu
 
ladyfurahia calm down my dear
we are all members of #TEAM RAFIKI...na ni ruksa kuwa na mwenza..but no multiple relationships..ama?
ulikuwa hujui kuwa mm ni KOMANDOO WA VITA TENA NI MWALIMU WA WANAWAKE sasa bora umetambua
nenda kwa haohao teambazazi wako WATAKUSUPPORT
elewa kuwa mm ni kiongozi wa TEAMRAFIKI hivyo usinichafulie jina langu
hapa wale ninaowaongoza watajua kiongozi KESHAKAMATWA na kumbe si chochote
 
Last edited by a moderator:
HIYO NI LUGHA TU MWISHOE :A S wink::A S wink::A S wink::A S wink:

HAHAHAHAHHAAAAAAAAAAAA KILIO CHA ................ MTAJI KWA 😛eep:
user-online.png
Ntuzu kasha kuacha tayari kashaenda kwa Khantwe... ubahili wake unamfanya kuruka ruka
 
ENDELEA KUVAMIA VIAMIA MWISHOE UTAVAMIA NA VIWEWE VIKUTOE ROHO YAKO MPAKA UJUTE KUZALIWA

KWAKWAKWAKWAKWAKAAAAAAAAAAAAAAAA YANGU MACHO HAPA :A S-eek:
Alafu kikinuka tayari ulishapata kambi raha sn!

Khantwe ebu njoo mpnz wangu umuone Huyu anataka kunipa kesi ya ubakaji kisa yeye KOMANDO!
 
gwijimimi hebu muulize mkeo kwangu anakuja kufuata nini na kanga moko kila siku
Na anasema hana mtu ndo maana tumempenda na tunaprovide kwake kila kitu miss chagga huyo gwijimimi ni nani kwani mbona mimi na binamu yako Bulldog hatumfaham kabisa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom