Zawadi yako Miss Chagga

Zawadi yako Miss Chagga

Na mie naomba zawadi?

BpIaRI5IMAAbPsV.jpg:large

Karibu tena
 
...mhh..! Mijitu inahongaa...!?kule kwetu kunadogo anakaribia kukata roho kwa kansa kakosa mil 10 tu,kaomba msaada mpaka kupitia itv,no body cares...
 
Hahahahaaaa... Just kidding bro. Huyu miss chagga atakua na dhahabu aisee... anavyogombaniwa ni baraaa.... ila mwenye kisu kikali ndiyu mla nyama siku zote.

Yaani ni balaa mkuu Tized kila mtu anayekuja hapa ni miss chagga na wengine wanatishia kuua mtu kisa miss chagga
Hapa ni balaa na Ntuzu bado ana hamu naye na anampenda hajakata tamaa
 
Last edited by a moderator:
Ushemeji Shemeji eeeeh huku nazima TAA!

Shemeji Shemeji eeeeeeeeeee huku nazima taa!

Ubinamu binamu eeeeeeeeeee huku watu wanazima TAA!

Cc: Tized Mr Rocky mwallu miss chagga
Ntuzu binamu nyama ya hamu
Shemeji zima taa
Ushaona mambo hayo wewe au wewe kule kwenu binamu sio nyama ya hamu
Mwaonana mara moja kwa mwaka
 
gwijimimi mume wangu mbona umekuwa mkali jamani ... kwani kwenye ndoa yetu ukumwona huyu yani umkumbuki kabisa kweli mume wangu uzee umekuiba duh
avatar96515_20.gif

Yaaani unazidi kunipa machungu aisee wewe mbn x wangu alivyotuzawadia ile baiskeli ukasema ananihonga ikabidi niirudishe?
We mwanamke nikuoende vp au mpaka nivue nguo nibaki uchi unions chizi sio?
Yaaan kila nikitanzama hilo gari naongeza idadi ya risasi kwenye rifle yangu wallah ntamtundika huyo so called Shemej
Anashindwa kumjunulia mkewe ananunulia wake za with
Kwani mi sijui kwamba.mkewe anatembelea vile vivitz?
Nahisi yale maisha ya kuchinja kuku now yatakua kuchinja binadamu
 
user-offline.png
Mr Rocky nA Bulldog MKIMUONA HUYU MTU PITENI MBALI KASEMA ANAUA LEO.... mimi sipo ila nakiupenda sana binamu na mpenzi wangu Mr Rocky i love u sana your one and only
 
Back
Top Bottom