miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Sawa sawa viatu vitakuwa vinakaa kwenye buti huko ndani wanaingia na sox tena nyeupe safi kabisa
na kama zinanuka tunanunua za ziada wanavua wanavaa mpya
Sawa sawa viatu vitakuwa vinakaa kwenye buti huko ndani wanaingia na sox tena nyeupe safi kabisa
Sifa gani binamu?? Marafiki wasiteseke, siku ukiomba mchango wa harusi usipate shida
Ubinamu ulianzia kibaba na kimama na kujipikilisha.
Kama ndoano ningempiga na asingechomoa ila mipaka imezingatiwa
miss chagga ni couzin wangu kabisaa
Ushemeji Shemeji eeeeh huku nazima TAA!
Shemeji Shemeji eeeeeeeeeee huku nazima taa!
Ubinamu binamu eeeeeeeeeee huku watu wanazima TAA!
Cc: Tized Mr Rocky mwallu miss chagga
Kama unataka gari sema mkuu, maneno mengi mbona??
Bulldog itachukua muda sana aise kusubiri maana unaweza kusubiri na jibu likawa no miss chagga niko poa mimi sina maneno bana we na binamu yako Bulldog peaneni zawadi tuu
Unashangaa nini??
Utashindwaje kuweka kumbukumbu ya binamu yako??
Kama unataka gari sema mkuu, maneno mengi mbona??
Ubinamu gani Huo uku unazima TAA!
gwijimimi mume wangu mbona umekuwa mkali jamani ... kwani kwenye ndoa yetu ukumwona huyu yani umkumbuki kabisa kweli mume wangu uzee umekuiba duh