miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
I miss you cousin
miss u more cousin .... ujanikumbaatia mda ... nimemiss kumbatio lako
I miss you cousin
Bulldog binamu yangu navyo kupenda jamani ijui kwa nini tumekuwa ndugu you always know what i need... i love u sana View attachment 167245always in my heart doo u kill me... afu ukija usije n ayule girl wako uwe unakuja mwenyewe
duh nzuri mpaka nimepagawa ila funguo mbona umenipa za pikipiki?
Asante sana mkuu Bulldog miss chagga tutadrive hii wakati tunaelekea kumtembelea Ntuzu na mke wake ladyfurahia na Tized
Asante sana mkuu Bulldog miss chagga tutadrive hii wakati tunaelekea kumtembelea Ntuzu na mke wake ladyfurahia na Tized
Hao marafiki zako wasisumbuke sana, waambie wachague hapa
![]()
Utalipata mkuu
sawa mpenzi wangu lakini wasiwe wanaingia na viatu wawe wanavipakata viatu vyao
hili sawa kile kitrekta hapanaYeye mwanaume, wacha atembelee hyo, sio trekta jeep wrangler modified edition
Kama haiwezi tumpe hii basi
![]()