Ila kwa sasa inafaa aulizwe mhusika wa miss chagga kabla ya kumpa zawadi mkuu Bulldog
Hahahahah haya bana kibopa wa mtaa fungua wallet na ATM yako bana
Hizi ndo mbinu alizozisema MCHUNGUZI HURU
Nimekuwa na miss chagga kabla huyu mchunguzi hajajiunga JF
Uzuri tumeanzia mtaani tukaja kumalizia huku
Ila kwa sasa inafaa aulizwe mhusika wa miss chagga kabla ya kumpa zawadi mkuu Bulldog
Hahahahah haya bana kibopa wa mtaa fungua wallet na ATM yako bana
Bulldog naomba urafiki aise
penzi tamu ambalo ni hadimu
Mmh!? aje peke yake tena! something fishy here! dah itabidi na mimi nitafute binamu humu, naona binamu no stress, no strings attached
View attachment 167278
Urafiki utapewa mkuu, ngoja miss chagga akubali kuwa msimamizi wa kipaimara cha mtoto wetu
Bulldog itachukua muda sana aise kusubiri maana unaweza kusubiri na jibu likawa no miss chagga niko poa mimi sina maneno bana we na binamu yako Bulldog peaneni zawadi tuu
Bulldog itachukua muda sana aise kusubiri maana unaweza kusubiri na jibu likawa no miss chagga niko poa mimi sina maneno bana we na binamu yako Bulldog peaneni zawadi tuu