Zawadi yako Miss Chagga

Zawadi yako Miss Chagga

daniel kalasha we utanipa nini? niambie kwanza

A%20S-devil1.gif

A%20S-devil1.gif
 
miss chagga ni couzin wangu kabisaa

Binamu eeehh hapa naona :A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1: mkuu Bulldog

Ndoano hiyo sidhani kama atachomoa
mshana jr umeona eeehhh hapo sijui na ubinamu unaweza kuishia njiani

asante sana Bulldog tukutane wapi leo unipe kadi yake alafu uendelee kuitumia tumia... embu punguza presha Mr Rocky una nini kwani nikiwa na wewe ndio sipewi tena zawadi janmani... acha wivu
miss chagga unaruhusiwa sana kupewa ila mhhh roho inauma japo wivu sina huyo ni binamu yako bana
 
Last edited by a moderator:
Binamu eeehh hapa naona :A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1: mkuu Bulldog

mshana jr umeona eeehhh hapo sijui na ubinamu unaweza kuishia njiani

miss chagga unaruhusiwa sana kupewa ila mhhh roho inauma japo wivu sina huyo ni binamu yako bana

Jamani nakupenda
 
Last edited by a moderator:
Kibo10 umeona eee huyu jamaa Bulldog kaamua kuingia mzima mzima anataka kupima kina cha maji aise
Ila hapa bahari imejaa hakuna nafasi na kindoo chake cha maji

Hahahaha..usimkatishe tamaa mkuu anaweza kufanikiwa!
 
Last edited by a moderator:
miss chagga na mimi nakupenda sana sana na sitaki kuona kiumbe anakuja kuja pande zako eti kukupenda Kibo10 kufanikiwa ni ndoto ni kama team za Italia na Spain tuu hapa watarudi kwao kama walivyokuja Kanigini mbinu hiyo ishakufa watu washastukia mpango mzima aise
 
Last edited by a moderator:
Bulldog binamu yangu navyo kupenda jamani ijui kwa nini tumekuwa ndugu you always know what i need... i love u sana View attachment 167245always in my heart doo u kill me... afu ukija usije n ayule girl wako uwe unakuja mwenyewe

Mmh!? aje peke yake tena! something fishy here! dah itabidi na mimi nitafute binamu humu, naona binamu no stress, no strings attached
 
miss chagga na mimi nakupenda sana sana na sitaki kuona kiumbe anakuja kuja pande zako eti kukupenda Kibo10 kufanikiwa ni ndoto ni kama team za Italia na Spain tuu hapa watarudi kwao kama walivyokuja Kanigini mbinu hiyo ishakufa watu washastukia mpango mzima aise

Ayaaaah Mr Rocky kumbe Bulldog hii zawadi afadhali kaitowa kwa mbali
Maana najuwa umeingiliwa kwenye himaya yako lakini usiwe mwoga miss chagga apendagi mali mali yeye mali kwao zipo nyingi tu!
 
Last edited by a moderator:
Ayaaaah Mr Rocky kumbe Bulldog hii zawadi afadhali kaitowa kwa mbali
Maana najuwa umeingiliwa kwenye himaya yako lakini usiwe mwoga miss chagga apendagi mali mali yeye mali kwao zipo nyingi tu!
Angekuwa karibu si unajua pangechimbika aise hapa Kibo10 sijui Bulldog kaanza lini huu usamaria mwema wa kutoa zawadi
 
Last edited by a moderator:
miss chagga na mimi nakupenda sana sana na sitaki kuona kiumbe anakuja kuja pande zako eti kukupenda Kibo10 kufanikiwa ni ndoto ni kama team za Italia na Spain tuu hapa watarudi kwao kama walivyokuja Kanigini mbinu hiyo ishakufa watu washastukia mpango mzima aise

Umeona eeh! Ni upepo tu, ukipita mbinu itarudi hewani na kuanza kutumika. Si unajua wabongo kwa kusahau (kujisahaulisha).
 
Back
Top Bottom