Zawadi ya ngono

kuna binti alikuwa kaajiliwa kwenye ofisi ya kaka wa rafiki yangu ambaye ni agent washirika la ndege sasa akaja jamaa yye kaajiliwa kwenye kampuni ya ndege akamwambia yan mrembo kama ww umeajiliwa na agent acha kazi uje ofsin kwetu tuna nafasi binti kwa tamaa kaacha kazi siku hiyo hiyo jamaa kamtoa chakula cha jioni alafu akamwomba mambo flan.

binti katoa afu kamwambia aje asubuhi ofsin kwao. binti kwenda pale kakuta walushaajiri mtu jana yake na hiyo siku ndo kaanza kazi.
 
kukosa competencies, confidence, self control, self valuation na mengine yanayofanana na hayo huchangia sana kwa kushamiri kwa rushwa ya ngono. Yapaswa wanaofanya hivyo wajue thamani ya miili yao maana wengine hujirahisisha na wakati mwingine favour yenyewe hawaipati. Mfano ni kama wanafunzi wa vyuo vikuu amboa wanajirahisisha kwa ma-lecturers ili wapewe marks hususani kwa yale masomo magumu, au wakati wa kutafuta kazi mdada au mwanamke anapeleka CV yake kwa boss anammega na CV anaitupa na ikifikia kuulizia siku ya interview anaambiwa hakupita kwenye selection.
 

inasikitisha usikute na ukimwi kapewa
 
Hapo namba 4, inaweza husika au la, maana mtu anaweza patiwa malezi mema lakini anapofikia umri wa kujiamlia ndipo huanza kuja na hayo ya kutaka asivyoviweza kwa kutumia rushwa na hata kujiuza mwili wake ili afanikiwe kwenye hitaji lake, na wengine hutumia njia hizi hata kama anavigezo vyote, kukosa kujiamini na kutokua na msimsmo ktk maamuzi
 
Bongo lala haliwezi kulead familia,,,ukishaanza kubebwa hutaweza hata kufikiria anything and solve challenging life ahead
 
Hii inawahusu jinsia Ke
 
Dr Lizzy naona umeamua kufukua makaburi. Kitambo hii. Na wewe ulipotea sana!
JF enzi hizo

Charles kilian ndio amefukua kwakunigongea like 🤓 Ila nimefurahi sana maana nimekumbuka mbali.

Hata sijapotea UmkhontoweSizwe , itakua tunapishana sababu ya uchangiaji hafifu tu (nimekua kilaza siku hizi).🥴🥴
 
hv mtu kama hawezi kudeliver vizuri utampromote vp? maana performance appraisal za siku hzi sio zile za kisirisiri kumbuka. labda wanautumia system ya zamani
Unawaza vizuri ila it doesn't work like that in this highly corrupt state. Hakuna kitu kama performance appraisal hapa nchini ila kuna ukada appraisal😂
 
Its not about kuziba riziki ila yote haya yanasababishwa na maisha magumu tu. Nchi haina mifumo ya kujali raia kila kitu ni lazma ujipambanie haswa ndio utoboe. The weak hearted ones hutumia shortcuts kama hizo kufikia malengo so tusiwalaumu sana.
 
Hii inaonyesha udhaifu wetu katika mfumo wa ajira kwamba baadhi ya waajiriwa huchaguliwa kwa vigezo ambavyo ni subjective zaidi kuliko kuwa objective. Matokeo yake ni kuwa na kada viongozi wa hovyo.
 
Ah, kumbe unazungumzia "zawadi"!? Sasa mtu ukipewa zaidi si huwa tunapokea? Tunakataa kupokea rushwa, lakini zawadi tunapokea. Zawadi si kama tips?
Zawadi ni Takrima😂 sio rushwa.

Tofauti ya Rushwa na Takrima ni namna ambavyo inakuwa induced.

Ikiwa mtu atatoa kitu kwa hiari yake kama shukurani hio si rushwa ni Takrima. Hii ni kama mtu kutoa Tip.

Ikiwa mtu atapewa condition kwamba ili upate au ufanikishe jambo lako toa kiasi flani au twende lodge hio ni rushwa without a doubt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…