Zawadi ya miss chitchat imeongezwa toka 5,000/= hadi 7,000/=.mshindi wa pili kupata 3,000/=

Mi nikajua Kabishanga kanavyopenda maujiko kangejitolea kuwa Mdhamini, halafu kangetangaza dau nono... Kumbe:lol:
 
Mi nikajua Kabishanga kanavyopenda maujiko kangejitolea kuwa Mdhamini, halafu kangetangaza dau nono... Kumbe:lol:
Bishanga napanga kufanya nae mazungumzo ili adhamini miss chitchat mwezi November
 
Last edited by a moderator:
hamna wadhamini walio jitokeza? ngoja ntaongea na airtel. hizo hizo zinamtosha Madame B. mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom