Zawadi gani inafaa?

Zawadi gani inafaa?

Kama kichwa kinavyojichora
Ila kwa maelezo zaidi ni kwamba ni zawadi gani(zawadi ya kiwango cha kati) ambayo inafaa kumpatia mtu ambae unampenda na upo ktk proces za kumtongoza?

Zawadi gani inafaa kumpatia kabla ya kumtongoza yaani zawadi iwe kitongozeo tosha cha awali juu ya upendo wako kwake..!?

bwayhermitTz

Mpe mimba tu hiyo zawadi hatoisahau milele. Ukishindwa niambie mm.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom