Zawadi gani inafaa?

Zawadi gani inafaa?

Kiongozi kuwa makini.

Unajua kwanini?

Uhusiano utakavyouanza ndivyo utakavyokwenda nao.

Labda itokee tu, awe Mtu wa kuelewa.

Wale ambao si wa kuelewa anaweza kukuchukulia wewe Kimwaga.

Utakuja juta baadae ukishazama kwenye Dimbwi la Uhusiano
[emoji122][emoji122]well said
Nimefikiria hilo pia..umenishawishi jambo zuri sn

bwayhermitTz
 
Mtafutie necklace kama unauwezo mchukulie gold lkn kama huna uwezo mchukulie silver tuu sio bei mbaya saaana.......
Kitu kama cheni ivo mda mwingi anakua amevaa so ikimgusa gusa shingoni anakua anakukumbuka
Silver gram moja shngap mkuu
 
Wewe km unajiamini ingia front mwagie seera zako. Ukimpelekea zawadi inaonesha atakua kapenda zawadi hajakupenda wewe unakua km umetoa Rushwa
 
Wewe km unajiamini ingia front mwagie seera zako. Ukimpelekea zawadi inaonesha atakua kapenda zawadi hajakupenda wewe unakua km umetoa Rushwa
Sawa mkuu
Nimekuelewa vyema Na pia uko sahihi kabisa[emoji106]

bwayhermitTz
 
Silver gram moja shngap mkuu
Inategemea na eneo na mkoa ulipo uku kwetu gram moja elf Tisa..... Jaribu kwenda sonara uulizie umuwekee na kidani kizuuuri atafurahi huyooo

Akikataa niletee Mimi(joking) ila hiyo ni zawadi nzuri sana kwa upande wangu
 
Akikukubalia uendelee kumpa zawadi hivyo hivyo. .
 
[emoji122][emoji122]well said
Nimefikiria hilo pia..umenishawishi jambo zuri sn

bwayhermitTz
Wewe ni BASHITE 100% unashikiwa akili na watu Wa Jf watu ambao ni wasengerema hasa wa hili jukwaa

Ampe zawadi nnzur mpezi wako ajivunie kuwa na wewe ila kuwa makini wanawake Awathaminiki kaa ukijuwa kuna boya anakula mzigo

Nakutakia mahusiano mema ila tumia akili mpe zawadi kitokana na hadhi yake. Kama anathani ya pipi mpe pipi kama anathamani ya I phone Mpe I phone

All the best[emoji738]
 
Iyo bashite ungeiondoa[emoji3][emoji3]
Ila umeeleweka vyema

bwayhermitTz
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom