Zawadi anazopewa rais wenu!

hahahaaa kweli mkwer.e nouma, watu tunakufa njaa huku yeye anaenda kuuza nyago huko Brazil na kupewa kofia, haya bana Mungu yuko.
 
Naombeni kujua idadi ya nchi alizotembelea huyu bwana tokea awe raisi wa nchi hii tafadhali!
 
Urais mtamu bana, hakuna stress full kujiachia na kutalii dunia nzima kwa gharama za mafala (watanzania) ningekuwa na mimi mvivu mvivu halafu napenda starehe za bure ningejiunga na chama cha Dovutwa niingie ulingoni 2015
 
hahahah,mdau we'l sapot u
 
Dah! umetisha mkuu, unawawekea mkwara wachiteme wala kumung'unya?
 
in short ni kwamba huyu jamaa hana kazi anayoifanya mimi nadhani anauza sura tu hapo kudadadadadadeki..! sasa hivi siogopi kuitumia hii lugha maana ni ya kawaida hata wabunge wake wanaitumia openly....!
 
Hela za kulipa zipo?
 
Nadhani zawadi ya hiyo kofia itatoa Motisha kwenye sera yake ya KILIMO KWANZA..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…