Zawadi anazopewa rais wenu!

Rais Kikwete akijaribu kofia aliyozawadiwa na taasisi ya kilimo ya Brazil Agriculture Research Enterprise (EMBRAPA)Ajabu wenyeji wake hata hawavai hizo kofia! Kweli rais tunaye.

prezida kwa kweli ananipa raha! anapenda sana kushusha kitonga huku kasimamia baiskeli! madaraka yakiisha anaweza hata kupata mtikisiko wa ubongo bila mtu kumuangusha kwa jinsi ambavyo atazimiss go na return trips! toka kuumbwa kwa ulimwengu sidhani kama ameshawahi tokea rais kama huyu! yeye ni wa aina yake, jamani wahusika pulizzzzz aingie kwenye guiness book of records! realy pathetic!
 
"HAMNAZO" kind of Presid ha ha ha haaaaa! Kama hafai kulinganishwa na VASCO DA GAMA basi tumfananishe na MYAHUDI MZURURAJI. Kazi tunayo na hivi na sisi wa-TZ ni mabumunda tutakoma. Hivi jeshini hatuwezi pata vichaa kama akina CAPTAIN SANOGO walipige BAN huko huko lilikoenda? Wajeshi wetu nao hovyo kabisa, eti nao wanatulaumu sisi raia kwa upole wetu. Mods tafadhali tuheshimiane!

Kabla hamjaheshimiana ma mod, hapo kwenye rangi, nauliza tu, hivi humu ndani hamnaga wanajeshi? Au hata wake zao/waume zao wawafikishie taarifa ya hicho ulichoandika hapo juu, sitaki kurudia kuandika, hili nisije nikawamo kwenye msafara wa mchaka, machaka. Umenipa raha.
 
"HAMNAZO" kind of Presid ha ha ha haaaaa! Kama hafai kulinganishwa na VASCO DA GAMA basi tumfananishe na MYAHUDI MZURURAJI. Kazi tunayo na hivi na sisi wa-TZ ni mabumunda tutakoma. Hivi jeshini hatuwezi pata vichaa kama akina CAPTAIN SANOGO walipige BAN huko huko lilikoenda? Wajeshi wetu nao hovyo kabisa, eti nao wanatulaumu sisi raia kwa upole wetu. Mods tafadhali tuheshimiane!
Hapo kwenye red nimecheka hadi nilio karibu nao wanakuja kuangalia nini ninacheka nikabadili tab!!
 
Hizo kofia wanavaa maalbino kuwasetili na jua na ndio maana huyo mzungu hapo nyuma anamshangaa jamaa anavyofurahia hiyo hat!! Jamaa huyu ni cheating sana ;mswahili ni mswahili tu hata akivaa suti.

Jee ni lazima muandike hata kama comments ni za kijinga? Hiyo kofia imeandikwa Embrapa ambayoni Taasisi ya utafiti wa kilimo Brazil, albino hao wametokea wapi?

Pili yeye kama amepewa zawadi na wenyeji wake mulitaka akatae, huo ndiyo ustaarabu wa wapi?

Lawama hata zisokuwa na msingi kwa sababu ya chuki tu.
 
"HAMNAZO" kind of Presid ha ha ha haaaaa! Kama hafai kulinganishwa na VASCO DA GAMA basi tumfananishe na MYAHUDI MZURURAJI. Kazi tunayo na hivi na sisi wa-TZ ni mabumunda tutakoma. Hivi jeshini hatuwezi pata vichaa kama akina CAPTAIN SANOGO walipige BAN huko huko lilikoenda? Wajeshi wetu nao hovyo kabisa, eti nao wanatulaumu sisi raia kwa upole wetu. Mods tafadhali tuheshimiane!

Mkuu wakina SANOGO wa Tz ndiyo hao wakina Shimbo,sasa utategemea chochote kutoka kwao kweli?
 
nimependa ulivyojihami hapo mwishoni!

Unajua Mkuu hawa jamaa nao kama wanatumiwa kutuhujumu vile!

Siku moja nimejidai kumkoromea Mkwe're (a.k.a VASCO DA GAMA - MYAHUDI MZURURAJI) humu jamvini si nikalambishwa BAN ya siku 21! Ndo maana nimemalizia kwamba tuheshimiane!
 
Dah! umetisha mkuu, unawawekea mkwara wachiteme wala kumung'unya?

Mdogo wangu hawa jamaa hawafai! Ukijidai kidogo tu kumkoromea mkulu unalamba BAN ya 21 days. Chezea kitu ingine bwana siyo Mods!! Nilionja tamu chungu ya hao jamaa mpaka sina hamu ndo maana natanguliza ki-mkwara mbuzi kwanza ili tusionane wabaya!!!
 
Hovyo ni wewe usiekuwa na akiri, **** nini, kazi kulalamik tu, fanya kazi acha ujinga.
 
prezida kwa kweli ananipa raha! anapenda sana kushusha kitonga huku kasimamia baiskeli! madaraka yakiisha anaweza hata kupata mtikisiko wa ubongo bila mtu kumuangusha kwa jinsi ambavyo atazimiss go na return trips! toka kuumbwa kwa ulimwengu sidhani kama ameshawahi tokea rais kama huyu! yeye ni wa aina yake, jamani wahusika pulizzzzz aingie kwenye guiness book of records! realy pathetic!

Nashinda kuamini kama huyu ndiye PREZDAA Wangu.. nilikua sahihi kuchagua Rais na c Rahisi..huyu ni RAHISI.. Mshamba na Zuzu.. kama ntu akifa anafahamu kila kitendekacho ulimwenguni, bac JK Original anapata shida mnoo juu ya Uzuzu wa huyu Mtawala na c Kiongozi.. Hana cfa za kuitwa kiongozi..
 
Back
Top Bottom