Ni majuzi alijitambulisha ni MEAhsante kwa taarifa mama la ubuyu
Mi napataga wanaume wana wivu balaa hawawezi kubali hii kituyaan kabisaaaah
Wamefungua kibanda cha pweza hapo forodhaniShoga kidawa nasikia yuko Zanzibar na sadala(domo), Sijui ndo wameenda kuoana au ku shoot video , wanataka tu kutupa presha hapa wambea mxieew
Itakuwa u mtamu ndani na nje plus plus.. ndio maana wana wivu pro max 👳Mi napataga wanaume wana wivu balaa hawawezi kubali hii kitu
Sasa mwanaume gan akubali mtu na Ex wake wakajivinjari huko zenjibaa?Mi napataga wanaume wana wivu balaa hawawezi kubali hii kitu



labda kalishwa limbwata. Lol