Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,117
- 1,249,282
Nataka kuzeeka kama zari
Yan humu nimegundua watu baadhi ya wanawake wana envy maisha ya zari maana mpaka kukumbushiana habari za 2017 kweli zari kiboko. Nikiwa mkubwa nataka niwe kama zari
Miss POWER OF NYAU a.k.a cha uwongo ni mfa maji tu haishi kutapa tapa.



