Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,201
Zari kwa Sasa ana tafuta future husband nenda uganda ukamchumbie maana kaka povu toka asubuhi unalimwaga si la kawaida kamtoe gundu yule bibi aweke historia yake vizuri.Zari kajua kwenda na vichwa vya wadada wa kibongo, hili bango litaishi vichwani mwenu mpaka mwisho wa dahari.





wanamuacha kwa mengi walai.