Zari Amvaa Mange Kimambi..

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,380
Ila Leo tukinao kajua kunikomeshea mtu , kumbe bidada nae yuko vzur kwenye kuchamba🤣, halafu Ana matusi hatari , nimeshangaa Bi kigagula alivyojibu kwa upole vile utadhan Sio yeye, Ila nimegundua mange hajui kuongea vizur physically unlike akiwa anatype, yani ukitaka kichambo cha mange vizur , ngoja akutaipie, atakuchamba mpaka mshipa ya ubongo ikusimame, Ila Leo dada wa taifa kaniangusha, sio wa kuzidiwa kuchambwa na zari .

Ila zari kiboko , eti kamuuliza swali moja tu , ye K yake imemsaidia nini ? 🤣🤣. Naona Bi dada anajibaraguza tu Hana cha kuongea, Leo mama kenzo kapatikana, halafu ukiangalia tu ile video ya mange utaona deep down she envy Zari's opulent living , na anamuogopa sana zari sema tu ndo vile atafanyaje kuondoa maumivu.

Ila mange unafeli wapi dada yetu jaman , unajua tunakutegemea kutupeperushia bendera yetu huko US? , yani na elimu yote hyo uliyokua nayo , na ujanja na shape nzuri , maana sio siri mange unalipa, you have that English figure of which most Rich white men craving for , and frankly speaking , mange you very smart kichwani , una upeo wa akili mkubwa sana, Sasa sijui kwa nini instead of making yourself , unaanza ku attack successful woman ambaye literally kakuzidi kila kitu , dada mange ukubali tu zari is your idol , role model , a person you are looking up to , im very very very very sure you badly want that extravagant lifestyle ya zari , you wish you had a man to buy you a house in a wealthiest estate kama ya zari sema tu ndo vile , sijui una gundu au laana .

Dada mange kwa u smart ulionao, elimu yako nzuri , I'm sure ata ungekua na gang ya Ma prostitute expensive uko US ambao uwaibia wazungu pesa na kuwa drug or black mail them , Sasa dada yetu jaman unakosea wapi ? , maana sijui kazi Tena kuajriwa Ndo basi, and you are almost 40 , with three kids , huna lolote mjini zaidi ya followers mil 3 Instagram , sijui hata kwa nini Uwa unamsema wema sepetu hana akili wakati nadhan akili zenu tu wote sawa
 
Huo ukaka na domo umeanzia wapi? Kama akina esma na midomo yote ile wamemshindwa zari sembuse kigagula ambaye Hana makazi US?
Message imefika, ndiyo maana wifi ameamka na mitusi, awa na makazi au hana lakini Mange halali barabarani. Issue hapa ni kuwa wifi awe na adabu, hata kama ameachwa na kaka asilete mabwana kwenye nyumba iliyonunuliwa na kaka kwaajili ya watoto.
 
Wewe warumi, kwakweli Dai na Zarina wanakuvutia sana unatamani ujitongozeshe kwa Simba ila huna vigezo angalau vya Hamisa

Katoa Ngoma King kiba inaitwa mbio izungumzie basi

Unfortunately , Diamond is out of my league , I only do the most elite and powerful people , I don't do stupid , ignorant , uneducated and mentally retarded imbeciles , I'm sexually attracted to someone's intelligence of which diamond lack , I'm dating prominent people in the government , not magufuli government , yani mpaka apo Ndo ujue I don't get dicked with a empty minded people , diamond type yake ni kina hamisa na Kim nana, zari alikujia tu nyumba yake , mission accomplished 🤣🤣
 
hahaahahaha daaaa sijui kwanini nakufananisha na dada flani huenda ni wewe
Unfortunately , Diamond is out of my league , I only do the most elite and powerful people , I don't do stupid , ignorant , uneducated and mentally retarded imbeciles , I'm sexually attracted to someone's intelligence of which diamond lack , I'm dating prominent people in the government , not magufuli government , yani mpaka apo Ndo ujue I don't get dicked with a empty minded people , diamond type yake ni kina hamisa na Kim nana, zari alikujia tu nyumba yake , mission accomplished
 
Back
Top Bottom