Zari all white party! Nashindwa ku-access na nimeshalipia dollar 3

mimikaye

Member
Jun 5, 2013
88
48
Jamani Kwa ambaye ameshaweza kuangalia hili tukio anifahamishe nashindwa kuangalia
Nimelipia online ila hakuna code hakuna lolote huu usije ukawa utapeli
 
Unatusumbua wenye Ticket zetu banaaa karbu mliman City
 
Attachments

  • 1430501000699.jpg
    1430501000699.jpg
    23.2 KB · Views: 1,957
Jamani Kwa ambaye amedhaweza kuangalia hili tukio anifahamishe nashindwa kuangalia
Nimelipia online ila hakuna code hakuna lolote huu husiwe ukawa utapeli

Kwaiyo Code hiyo unaisubr kwenye website? Kama umenunua hujatumiwa piga huduma kwa wateja kwenye mtandao husika uwajurishe hujapata code wao watajua nn wafanye
 
Jamani Kwa ambaye amedhaweza kuangalia hili tukio anifahamishe nashindwa kuangalia
Nimelipia online ila hakuna code hakuna lolote huu husiwe ukawa utapeli

Ebu fafanua..
Umefata hatua zote za kulipia na ukatumiwa code za kuingilia kwenye mtandao???

Mi nimelipia na hapa nipo watch kitu live watu ndo wanaanza kuingia ukumbuni
 
hata ukitumiwa code huwezi kuenjoy...full echoes...uki log out ili utumie browser nyingine ndo inakula kwako, coz wanasema code inatumika else where
namba ya simu waliyoweka haipatikani
 
Umejishtukia eeh? Hahahahaaa
Lako hilo.
Una uhakika gani kama hajui? Mtu kauliza swali kama huwezi kujibu ungepita kimyakimya tu.

Na wewe una kiherehere... Una hate unnecessary...
Huyu jamaa ni lofa . Utaki?
 
Niko serious na kuna watu wanaleta
Masihala niko nje ya Africa nimeingia
Nimelipia $3 kila nikicheck kwenye site hakuna assistance yoyote wala hakuna
Namba ya kupiga ndo nimeona nije hapa kama kuna mtu nje ya nchi amefanikiwa kuingia
Anaweza share ili wengine tujifunze hau tu pate assistance tatizo lenu kutwa Masihala na matusi ndo mmekalia. . $3 inaniuma hpa sio
Sio sifa mi kwangu hiyo $3 ndefu sana kwa Mimi mtu wa Boxi
 
hata ukitumiwa code huwezi kuenjoy...full echoes...uki log out ili utumie browser nyingine ndo inakula kwako, coz wanasema code inatumika else where
namba ya simu waliyoweka haipatikani

Eehh u log out alafu ukasign in kwenye pc nyingine kwa code ileile? jaribu ku remove antivirus then weka tena alafu weka hizo code zako kama 1 pc uone nn kitatoke
 
Na wewe una kiherehere... Una hate unnecessary...
Huyu jamaa ni lofa . Utaki?

Kwendraaaa,nikuchukie wewe nani?
Eti jamaa lofa wewe mwenye nazo zinatusaidia nini?
Jamaa yuko serious acha chuki zako za kijinga usidhani kila mtu ana roho mbaya kama wewe.
 
Niko serious na kuna watu wanaleta
Masihala niko nje ya Africa nimeingia
Nimelipia $3 kila nikicheck kwenye site hakuna assistance yoyote wala hakuna
Namba ya kupiga ndo nimeona nije hapa kama kuna mtu nje ya nchi amefanikiwa kuingia
Anaweza share ili wengine tujifunze hau tu pate assistance tatizo lenu kutwa Masihala na matusi ndo mmekalia. . $3 inaniuma hpa sio
Sio sifa mi kwangu hiyo $3 ndefu sana kwa Mimi mtu wa Boxi

Mkuu ata kama uko serious lakin njia ni kuwapigia mtandao husika ambao ulilipia iko kiasi, ata wangeweka namba apo ungepiga wala wasinge kusaidia kitu cos hawajaona huo muhamala lakin mtandao husika ambao umekatwa iko kiasi ndio wanaona hivo ni vema ukawapigia ao…!! au hujawah kukosea kutuna hela? Huwa unachukua hatua zip ukigundua umekosea? Piga mtandao husika kama itakuwa issue kubwa basi wanakurudishia hela iyo haijalishi atakama ukawa shimoni…………
 
Niko serious na kuna watu wanaleta
Masihala niko nje ya Africa nimeingia
Nimelipia $3 kila nikicheck kwenye site hakuna assistance yoyote wala hakuna
Namba ya kupiga ndo nimeona nije hapa kama kuna mtu nje ya nchi amefanikiwa kuingia
Anaweza share ili wengine tujifunze hau tu pate assistance tatizo lenu kutwa Masihala na matusi ndo mmekalia. . $3 inaniuma hpa sio
Sio sifa mi kwangu hiyo $3 ndefu sana kwa Mimi mtu wa Boxi

Bei ilitangazwa kwa nje ni dola 5.
 
Back
Top Bottom