Zari all white party! Nashindwa ku-access na nimeshalipia dollar 3

Alieseti payment ya international alisahau kuiondoa kwenye demo kwahiyo

Haujakatwa pesa na ujumbe wote wamepata huo kuwa pesa haijachajiwa....muwe mnasoma maneno yote kwenye email na pia hakuna kodi sababu haujalipia

So haudai pesa...
 
Jamani Kwa ambaye amedhaweza kuangalia hili tukio anifahamishe nashindwa kuangalia
Nimelipia online ila hakuna code hakuna lolote huu husiwe ukawa utapeli

Sio utapeli sababu ya juja kuandika humu ni haujasoma e-mail na pia kumbuka hawakuomba security code ya benki kuingizwa ku verify

So kabla haujaandika hakikisha umesoma na kuelewa sababu utapeli sio neno zuri wakati umeambiwa hautachajiwa.

Kasome uone e-mail yako
 
Umejishtukia eeh? Hahahahaaa
Lako hilo.
Una uhakika gani kama hajui? Mtu kauliza swali kama huwezi kujibu ungepita kimyakimya tu.

Malipo ni dola 5.

Tz elfu 3 haiwezi kuwa dola 3.

Kumekuchaaaa
 
Tanzania na wengine walipo hukoooo wanaangalia bila shida ipo clear kabisa
 
Alieseti payment ya international alisahau kuiondoa kwenye demo kwahiyo

Haujakatwa pesa na ujumbe wote wamepata huo kuwa pesa haijachajiwa....muwe mnasoma maneno yote kwenye email na pia hakuna kodi sababu haujalipia

So haudai pesa...

Okay gotcha! !so hiyo demo ndo itabaki till when??
 
Changu nn…??? Sitokubal kusimuliwa
 
Attachments

  • 1430506804173.jpg
    1430506804173.jpg
    9.7 KB · Views: 869
Jamani Kwa ambaye amedhaweza kuangalia hili tukio anifahamishe nashindwa kuangalia
Nimelipia online ila hakuna code hakuna lolote huu husiwe ukawa utapeli
Mkuu ni $5
Mkuu wasiliana na watoa huduma ulipo lipia utapewa kodi..
 
hata ukitumiwa code huwezi kuenjoy...full echoes...uki log out ili utumie browser nyingine ndo inakula kwako, coz wanasema code inatumika else where
namba ya simu waliyoweka haipatikani

Hamia Airtel u enjoy internet ya kasi na yatosha hai scratch scratch.....
 
Hamia Airtel u enjoy internet ya kasi na yatosha hai scratch scratch.....

Mkuu tatizo sio airtel au tigo, tatizo ni huyo alopewa shavu la kurusha show live online.... Mbona online TVs nyingine zina stream vizuri?
 
Mkuu tatizo sio airtel au tigo, tatizo ni huyo alopewa shavu la kurusha show live online.... Mbona online TVs nyingine zina stream vizuri?

Imenigomea pia hivo hivo, nimejaribu kupiga namba yake 0714 204490 huyo mtu wa SetUp hajapokea.
Nikatuma message jamaa ndo amezima sim kabisa
 
Mimi nasubiri picha tu sihangaiki na hivi network inasumbua leooo picha zinanitosha aiseee
 
Jamani Kwa ambaye amedhaweza kuangalia hili tukio anifahamishe nashindwa kuangalia
Nimelipia online ila hakuna code hakuna lolote huu husiwe ukawa utapeli

Hebu piga hii namba wamenitumia sasa hivi 0777225222

Imebidi ninunue code mpya baada ya kulog out mara ya kwanza na nilivotaka kulog in ikanigomea
 
Uuuuuuuwi MAJANGA.

Code mpya niliyonunua mara ya pili nayo naambia inatumiwa na mtu mwingine.

TUNAIBIWAAAAAAAA

WEZIIIIIIIIIIIIII
 
Back
Top Bottom