Jamani Kwa ambaye amedhaweza kuangalia hili tukio anifahamishe nashindwa kuangalia
Nimelipia online ila hakuna code hakuna lolote huu husiwe ukawa utapeli
Yaan Kwa buku 3 unataka uone kla tukio?... Na hiz lak zetu jee?....
Kwaiyo Code hiyo unaisubr kwenye website? Kama umenunua hujatumiwa piga huduma kwa wateja kwenye mtandao husika uwajurishe hujapata code wao watajua nn wafanye
Hili ndilo jibu.Watu wengine sijui wakoje...sifa tu.
hana lotote huyu, ----- tu. Eti dola 3.
Tukimwambia aikonvert to tsh.,hataweza.
Jamani Kwa ambaye amedhaweza kuangalia hili tukio anifahamishe nashindwa kuangalia
Nimelipia online ila hakuna code hakuna lolote huu husiwe ukawa utapeli
Umejishtukia eeh? Hahahahaaa
Lako hilo.
Una uhakika gani kama hajui? Mtu kauliza swali kama huwezi kujibu ungepita kimyakimya tu.
hata ukitumiwa code huwezi kuenjoy...full echoes...uki log out ili utumie browser nyingine ndo inakula kwako, coz wanasema code inatumika else where
namba ya simu waliyoweka haipatikani
Na wewe una kiherehere... Una hate unnecessary...
Huyu jamaa ni lofa . Utaki?
Niko serious na kuna watu wanaleta
Masihala niko nje ya Africa nimeingia
Nimelipia $3 kila nikicheck kwenye site hakuna assistance yoyote wala hakuna
Namba ya kupiga ndo nimeona nije hapa kama kuna mtu nje ya nchi amefanikiwa kuingia
Anaweza share ili wengine tujifunze hau tu pate assistance tatizo lenu kutwa Masihala na matusi ndo mmekalia. . $3 inaniuma hpa sio
Sio sifa mi kwangu hiyo $3 ndefu sana kwa Mimi mtu wa Boxi

Yaan Kwa buku 3 unataka uone kla tukio?... Na hiz lak zetu jee?....[/QUOTE
mkuu umenichekesha sana