beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,877
- 6,326
Kamati ya watu 4 yachaguliwa kusimamia mali za marehemu Ivan Ssemwanga mpaka watoto wake watakapofikisha miaka 18.
Zari Hassan ndiye msimamizi mkuu ambaye ametakiwa kusimamia shule za Ivan zilizoko Afrika Kusini kikiwemo chuo cha Brooklyn na pia nyumba mbili za Ivan zilizoko Sandton na Pretoria. Pia ametakiwa aishi na watoto wake wote kwenye nyumba moja na nyingine ipangishwe.
Wengine waliochaguliwa ni;

- Ritah Ssemwanga(Dada wa Ivan)
- George Ssemwanga ambae ni kaka mkubwa wa Ivan
- Lawrence Muyanja(Maarufu kama King Lawrence)