Zari achaguliwa kuwa msimamizi mkuu wa mali za marehemu Ivan Ssemwanga

Nadhani Mond ajitafakari ikibidi aachie ngazi kama alivyofanya Prof. Muhongo
Najua inauma sana lakini hakuna namna imeshafahamika kwamba Zari yuko kimaslahi


Hata akijitafakari, ameshanasa ujue hata akitangulia mbele ya haki (Mungu aepushie mbali) bado huyu Mama atatakiwa kudai urithi wa watoto wake.

Kumbe hii vosa fasta ilikua magoli ya mbaaaali ya mwanamama.
Inamaana asopoishi kwenye mojawapo ya hizo nyumba anapoteza sifa ya kuwa msimamizi mkuu wa mirathi?
 
Nadhani Mond ajitafakari ikibidi aachie ngazi kama alivyofanya Prof. Muhongo
Najua inauma sana lakini hakuna namna imeshafahamika kwamba Zari yuko kimaslahi
Yaani kabisa we unampa lawama Zari kwa kukataa kusimamia zile Mali?!
 
Naona aliambiwa kama anataka awe msimamizi basi akaishi na watoto kwenye nyumba ya marehemu baba yao, mtego huo ina maana diamond akienda kuishi hapo Zari ananyanganywa mandate. Chezea pesa wewe. Diamond lile hekalu ulilonunua south zari alipokudanyanya nyumba wanayoishi ni ya kupanga, Ivan hana nyumba. Leo Zari kaumbuka. Ndo maana Diamond leo kampost mama yake na kusema ni his real woman of his Life.









nipm basi unatumia jina gani mama
 
Hahahha #Hamisa_mobeto......,our upcoming shemeji shemeji




I feel something crazy here.
 
hao watatu ni washika pembe tu hapo incase ikitokea sintofahamu yoyote " thebosslady" ndo dereva uyo kinglawrence atafute kazi
Mambo ya mirathi hapo hao wote wana haki ya kusimamia labda huyo zarina angekuwa ni mke wa Ivan bahati mbaya alimkimbia Mme wake na kuolewa na diamond
 
mleta uzi kasema "Pia ametakiwa aishi na watoto wake wote kwenye nyumba moja na nyingine ipangishwe."
huu ni mtego naona
Nasikia alikiri kwenye familia ya Ivan kuwa hata yule mtoto wake wa mwisho ni wa Ivan na sio diamond ( Maelezo haya yalitolewa na baba mdogo wa Ivan na ushahid wa video wanao wao kama familia )

Kwel hapa ni somo kubwa la kujifunza
 
Hili litakuwa gumu kulitimiza kama DP hatataka watoto wake waishi katika nyumba mojawapo ya za Ivan lakini bila shaka watalitafutia ufumbuzi.
Anaweza kutoa siri si Maelezo ya baba mdogo wa Ivan wanasema huyo demu alisema hata hao watoto ni wa Ivan na hasa huyo wa mwisho ukimuangalia kafanana sana na Ivan (sitak kusema marehemu maana kuna tetesi yupo hao somewhere ana enjoy zake $150 million alizopiga mchongo)
 
Pia ametakiwa aishi na watoto wake wote kwenye nyumba moja na nyingine ipangishwe

nilishasema Kitendo cha Zari kuwa busy msibani Dayamondi aijipange Upya........ Wenye hulka ya Kuzaa na Mwanamke ambaye amezaa na Mwanaume Mwingine wapate fundisho

Asante.
Kwahiyo tatizo ni kuwa bize msibani au kuwa sehemu ya wasimamizi wa hizo mali?!
 
nimependa hapo kuwa anapaswa kuishi na watoto kwenye nyumba moja wapo ya marehemu hapo SA.
Huo ni uamuzi wa busara kuliko vinginevyo.

Mosi, wasingeweza kusema nyumba zote zipangishwe wakati kuna watoto! Ukisema zote zipangishwe manake unamwambia mama na watoto nao wakapange. Hata kama wasingekuwa na tatizo na baba wa kufikia (Chibu) bado lazima ujiulize what happens wakibwagana wakati watu wenyewe ni mahawara tu!!!
 
Hili litakuwa gumu kulitimiza kama DP hatataka watoto wake waishi katika nyumba mojawapo ya za Ivan lakini bila shaka watalitafutia ufumbuzi.
Nadhani hiyo ni "technical" term tu! Theoretically, ilikuwa ni lazima ipitishwe kwamba Zari aishi kwenye nyumba moja na watoto kwa sababu kinyume chake ni kuruhusu nyumba zote zipangishwe jambo ambalo lisingekuwa sahihi kwa sababu kuna watoto!!!
 
Nadhani hiyo ni "technical" term tu! Theoretically, ilikuwa ni lazima ipitishwe kwamba Zari aishi kwenye nyumba moja na watoto kwa sababu kinyume chake ni kuruhusu nyumba zote zipangishwe jambo ambalo lisingekuwa sahihi kwa sababu kuna watoto!!!
kabisa bora mondi angekuwa na mindset ya kizungu bt yeye na familia yake waswahiliiiii kabla hata Ivan hajafa kuna siku alipost kijembe kuusu iyo nyumba aliyonunua

Sent from my LG-H500 using JamiiForums mobile app
 
nmefurahi sana dai kavuna alichokipanda..ni marufuku kukanyaga kwa don ivan,,mara oo hana nyumba sasa ww kanyaga pale ukutane na king law akufurahishe,,,
 
Back
Top Bottom