Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,557
kafiri kupangishwa nyumba yenyewe ni kazi !Hahahahaaaaa,nina mpango wa kufungua bucha ya kitimoto zanzibar maana nasikia biashara hiyo inalipa sana huko!Yaani mzigo haukai!
kafiri kupangishwa nyumba yenyewe ni kazi !Hahahahaaaaa,nina mpango wa kufungua bucha ya kitimoto zanzibar maana nasikia biashara hiyo inalipa sana huko!Yaani mzigo haukai!
Huyo ni kafiri mwenzio japo hilo ni jina tukufu!
Kwasababu gani?kafiri kupangishwa nyumba yenyewe ni kazi !
Wana uhuru wa kula ila wasile hadharani, kwa hadhara itapunguza shibe yao !?Mkuu umeeleza tu asili ya Mfungo au Ramadhani lakini hujaeleza maudhui ya mtu mwingine asiye muislamu kukatazwa kula hadharani.Kama ulivyoeleza vizuri kuwa maudhui ya ninyi kujifutarisha hadharani katika makundi ni njia mojawapo ya promotion ya Uislamu ndivyo naomba pia utueleze maudhui ya watu wengine wasiohusika na mfungo kukatazwa kula hadharani.
Wewe unahitaji kula ukidhi njaa yako au unata kula hadharani !? ...ni wazi unataka kufanya karaha tu kwa wafungaji !
sawa mkuu kunguru nimekusomaSio 90% ndo waislam sema 99% ni waislam hizo amri zipo kabla ya Muungano lamsingi hao wenye itikadi nyingine wanatakiwa kutii tu.ni masiku machache lakini yana kheri nyingi sana na ndani yake kuna makumi matatu.
Wana uhuru wa kula ila wasile hadharani, kwa hadhara itapunguza shibe yao !?
Kafiri !Kwasababu gani?
Ndio mnavyofundishwa chuki na dini yenuKafiri !
Mwezi mtukufu wa Ramadhani, mwezi wa ibada ya kujuzuia kula mchana kwa waislaam, ingawa wapo waislaam walioruhusiwa kula bali nao wasile hadharani !Sijaelewa ulichokisema hapa! Sababu ya kutoruhusiwa watu hao kula hadharani ni nini?
kwahiyo na wewe umepania kuihinikiza anga kwa harufu ya chakula !?Kwa hiyo kumbe maudhui ya katazo la watu kujilia popote wanapoona inafaa ni kuepusha ninyi kuwa-disturbed na harufu ya Chakula? Kwa hiyo watu wazima wanaweza kupelekeshwa na Harufu za vyakula?
Zanzibar ni nchi ya waislam .unataka kipindi cha kwaresma wamtangazie nani?
Kwa hiyo kwa akili yako hawa wachache hawatakiwi kulindwa na sheria? Mbona kwenye nchi zenye wakristo wengi haki za waislamu na minority wengine wanalindwa kwa sheria? Au ustaarabu upande huu hakuna?Zanzibar ni nchi ya waislam .unataka kipindi cha kwaresma wamtangazie nani?
Wana uhuru wa kula ila wasile hadharani, kwa hadhara itapunguza shibe yao !?
Makafiri hata Mungu hawapendi na ndio maana watu wa Sodoma na Gomora hawakusalimika ! au dini yako haiwataji hao watu!?Ndio mnavyofundishwa chuki na dini yenu
Labda humu JF !Mimi nitakula
kwahiyo na wewe umepania kuihinikiza anga kwa harufu ya chakula !?
Mwezi mtukufu wa Ramadhani, mwezi wa ibada ya kujuzuia kula mchana kwa waislaam, ingawa wapo waislaam walioruhusiwa kula bali nao wasile hadharani !