Mrs Kharusy
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 1,244
- 672
Hivi wana nguvu za kukiendesha? Maana wabonyeza kizenji waleee!!!
Nenda wakakubonyeze halaf urudi utuambie km wanazo au laa..
Hivi wana nguvu za kukiendesha? Maana wabonyeza kizenji waleee!!!
Wapi wamesema? Mbona hicho kifaru kina plate number ya JW? Na zile ndege zilizoruka juzi pale Amani utasema ni za Zanzibar?najua lakini wao mbona wanasema hichi kifaru ni chao?
najua lakini wao mbona wanasema hichi kifaru ni chao?
nimeshangazwa sana kuona kijisiwa cha zanzibar kuwa na kifaru cha kivita kama hiki
Linalonishangaza hapa ni kuwa hali yao kiuchumi ni mbaya sana na kwa kweli kama wanatutegemea sisi kuwalinda kulikuwa na haja gani ya wao kununua kifaru kikubwa kama hiki
![]()
matukio-michuzi: TASWIRA MBALI MBALI KATIKA SHEREHE YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO
Gongo imemharibu hata kujua mambo kachelewa kitambo.
Walikuwa wanaonyesha kuwa vifaa vingi vya kijeshi vipi Zanzibar hivyo bara mpunguze chokochoko; au hujui kuwa kwa katiba mpya ya Zanzibar (ya sasa) Rais wa Zanzibar ni Mkuu wa vikosi maalumu vya jeshi?! sasa kakosea nini kununua kama yeye ndo mkuu wa mambo ya ulinzi visiwani; Wadanganyika bado hajajitambua kuwa nie ni Watanganyika, siku mkijitambua tu...kumekuchwa.!
nimeshangazwa sana kuona kijisiwa cha zanzibar kuwa na kifaru cha kivita kama hiki
Linalonishangaza hapa ni kuwa hali yao kiuchumi ni mbaya sana na kwa kweli kama wanatutegemea sisi kuwalinda kulikuwa na haja gani ya wao kununua kifaru kikubwa kama hiki
![]()
matukio-michuzi: TASWIRA MBALI MBALI KATIKA SHEREHE YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO
Hiki kifaru mbona kimetengenezwa pale Nyumbu Kibahaa mkuu!wala akikutumia pesa nyinginimeshangazwa sana kuona kijisiwa cha zanzibar kuwa na kifaru cha kivita kama hiki
Linalonishangaza hapa ni kuwa hali yao kiuchumi ni mbaya sana na kwa kweli kama wanatutegemea sisi kuwalinda kulikuwa na haja gani ya wao kununua kifaru kikubwa kama hiki
![]()
matukio-michuzi: TASWIRA MBALI MBALI KATIKA SHEREHE YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO
Kwa pesa ipi mlionayo huko Visiwani! Hata kama ni amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Zanzibar ujue hapo JWTZ NA POLISI hawamo ktk hiyo katiba. Hata mngekuwa na jeshi lenu ninyi kupigana vita hamuwezi mnachoweza ni kujitoa mhanga kwa kujilipua ili muwauwe raia wasiokuwa na hatia.
Hiki kifaru mbona kimetengenezwa pale Nyumbu Kibahaa mkuu!wala akikutumia pesa nyingi
wameanza lini kujilipua au kujitoa muanga embu tukumbushe wana jf wenzio tukio moja au 2