Zanzibar wametoa wapi pesa za kununua hiki Kifaru?

Zanzibar wametoa wapi pesa za kununua hiki Kifaru?

Sishangai sana kwani kwamtazamo wangu mfinyu nafaha kua zanzibari ni nchi kua na kifaru nimoja ya bajeti ya serekari yao
 
Gharama ya kifaru kimoja cha mchina ni kama tsh bilioni 3.
Cha mmarekani karibu bilioni 9.
 
arnold-schwarzenegger-tank-rides.jpg


Hilo Tank la terminator naona limekaa kimikogo zaidi kuliko hicho cha jeshi la wazanzibari/watanzania wanacho ki-parade mbele ya ulimwengu, and he is not a billionaire.

Ebu tuwe serious hivi hicho ki-tank ndio cha muhimu sana kukijadili kwenye siasa zetu kwa sasa.
 
Elimu ya uraia ni muhimu sana. Huyu Mkuu hailewi chochote kuhusu nchi yake. Kama ana akili hata ya kupost uzi na ku-attach picha, amekosaje akili ya kuijua nchi yake. Ataitetea nchi yake huyu? Kazi tunayo.
 
watu wenye akili hawasemi mambo ya kijeshi hadharani. mnataka kujua kifaru kinatokawa wapi Zanzibar??
 
nimeshangazwa sana kuona kijisiwa cha zanzibar kuwa na kifaru cha kivita kama hiki

Linalonishangaza hapa ni kuwa hali yao kiuchumi ni mbaya sana na kwa kweli kama wanatutegemea sisi kuwalinda kulikuwa na haja gani ya wao kununua kifaru kikubwa kama hiki

27.jpg



matukio-michuzi: TASWIRA MBALI MBALI KATIKA SHEREHE YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO[/ Ndiyo matatizo ya serikali yetu kuharibu silabasi ya somo la historia! Ameshindwa hata kuoanisha hao wanajeshi na sare zao pamoja na kifaru,pia historia ingeweza kumjuza kuwa askari jeshi wazanzibari walipigana vita ya Tanzania na Uganda kumtoa Idd Amini dada!! Ukijua hayo machache utaelewa Kifaru hicho kimefikaje Zanzibar!
 
Gharama ya kifaru kimoja cha mchina ni kama tsh bilioni 3.
Cha mmarekani karibu bilioni 9.


Ni kweli Mkuu! Hizo ndio bei zake!

Na hivi vya kisasa ndio vina bei sn!

Nakumbuka Walibya vifaru vyao walivinunua ghali sn na viliteketezwa sn na madege ya NATO! Hasara kubwa sn!
 
Vile vifaa ni vya jeshi la wananchi wa tanzania maswala ya ulinzi ni usalama ni maswala ya muungano ni kumuelewesha hamna haja ya kumtukana
 
Wabongooo, yaani mnajadili vita kama mnajadili kulima mahindi! Vita c lelemama, kwanza wengine bom mmeona kweny movie!!
 
nimeshangazwa sana kuona kijisiwa cha zanzibar kuwa na kifaru cha kivita kama hiki

Linalonishangaza hapa ni kuwa hali yao kiuchumi ni mbaya sana na kwa kweli kama wanatutegemea sisi kuwalinda kulikuwa na haja gani ya wao kununua kifaru kikubwa kama hiki

27.jpg



matukio-michuzi: TASWIRA MBALI MBALI KATIKA SHEREHE YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO
WW ndio kaputi kweli. Kifaru ni cha jwtz angalia reg no. Hata kama znz ingekua na jeshi lake unadhani hawana pesa ya kununua hata kifaru kimoja? We vipi!
 
wao wana jeshi lao linaitwa JKU, JWTZ 90% ni bara


Mkuu Samahani lkn! Km hufahamu kitu ni bora usipost hoja yeyote na ubaki Kusoma tu!

TPDF ni jeshi la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania! Majeshi na zana za kijeshi ni halali na haki kuwepo pande yeyote ile ya sehemu za Muungano bara na visiwani! Na ata Polisi ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano!

Vikosi ambavyo Viko chini ya SMZ ni KMKM, JKU, MAFUNZO au huku kwetu tunaita Askari Magereza, na Fire. Na Hawa JKU ni sawa na kwetu huku Bara JKT.
Na vikosi vyote hivyo vinafanya kazi vizuri Na kwa ushirikiano!

Natumaini mpk hapa utakua umepata picha!
 
Kinachokushangaza nini labda tukushangae wewe ndiye unaonekana waajabu lakini hicho kinachokushangaza si ajabu
 
Serikali inampango wa kupeleka kifaru kila mkoa, ikizingawa kwamba zenj ni mkoa kama iringa, lindi, rukwa,katavi, simiyu n.k. Lazima tuboreshe mikoa yetu hasa yenye hazina ya mafuta.

Yah, na pia kila mkoa kunategemewa kuwa na serikali kamili km ilivyo kwa zanzibar...kwahio vaa mkanda mzee ujitayarishe kugombea uprezidenti kwenye mkoa wako..
 
Back
Top Bottom