Maishamapya
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,279
- 375
Khaa!!! Kumbe kuna mijinga mingi sana humu. Inakurupuka bila hata kujua muungano ukoje
Acha Rohombaya; mwenzio anauliza tu!
Last edited by a moderator:
Khaa!!! Kumbe kuna mijinga mingi sana humu. Inakurupuka bila hata kujua muungano ukoje
Hata mimi huwa najiuliza huwa wanafikiria nini kuonesha dunia vifaa vya kizamani kama hivi. bora wangemiliki magari kama hummer yale ambayo hata bobu lipige tairi halipasuki.
Kagame amecheka sana pia. Juzi juzi tu amepata msaada wa ndege za kisasa za kivita.
Walikuwa wanaonyesha kuwa vifaa vingi vya kijeshi vipi Zanzibar hivyo bara mpunguze chokochoko; au hujui kuwa kwa katiba mpya ya Zanzibar (ya sasa) Rais wa Zanzibar ni Mkuu wa vikosi maalumu vya jeshi?! sasa kakosea nini kununua kama yeye ndo mkuu wa mambo ya ulinzi visiwani; Wadanganyika bado hajajitambua kuwa nie ni Watanganyika, siku mkijitambua tu...kumekuchwa.!
Hizo ni sherehe tu! Jeshi kutumia dhana za kizamani ktk hizo sherehe Wala sio shida!
Alafu Jamani Mbona Kagame mnamkuza sn? hicho kitaifa ata iweje bado kwa Tz ni cha mtoto tu!
najua lakini wao mbona wanasema hichi kifaru ni chao?
Kama ilivyo ile mizinga 21 ya salute ya heshima. Ni kwa sherehe tu.
Tumia akili jeshi ni taasisi ya Muungano
Ndio ni chetu au hujui sisi ni sehemu ya muungano?
Katika kugawana rasilimali tulizochuma pamoja tumeanza kuchagua hiki kifaru.
Mkuu samahani lakini, sijui nikuite lofa au kitu gani?nimeshangazwa sana kuona kijisiwa cha zanzibar kuwa na kifaru cha kivita kama hiki
Linalonishangaza hapa ni kuwa hali yao kiuchumi ni mbaya sana na kwa kweli kama wanatutegemea sisi kuwalinda kulikuwa na haja gani ya wao kununua kifaru kikubwa kama hiki
![]()
matukio-michuzi: TASWIRA MBALI MBALI KATIKA SHEREHE YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO
Tanzania ina mikoa mingapi? Ngumu kujua kwa sasa, hata umchukue kiongozi mkuu kabisa tanzania umuulize mambo ya muungano ni mangapi? Hawezi kujibu...huwezi jua labda hata mambo ya ulinzi si ya muungano tena manake Tanzania ya leo ni zaidi ya uijuavyo.
unaongea kama vile zanzibar hakuna makambi ya kijeshi yenye vifaru.Kifaru hicho kilikuwa kibaha. Kilipelekwa huko kwa maonesho tu. Kimerudishwa bara kwa meli ya jeshi.
unaongea kama vile zanzibar hakuna makambi ya kijeshi yenye vifaru.
Kama ilivyo ile mizinga 21 ya salute ya heshima. Ni kwa sherehe tu.
najua lakini wao mbona wanasema hichi kifaru ni chao?