Zanzibar wametoa wapi pesa za kununua hiki Kifaru?

Zanzibar wametoa wapi pesa za kununua hiki Kifaru?

msiwatishe mboan Cape Verde ni kisiwa na wanaishi kwa amani,, visiwa vingi tu Cilibati je na Tahiti??? mmeigeuza zanzibar kama kisiwa pekee duniani
cape verde wana mafuta, Znz na comoro wanayo? labda wafanye fracking, we una fikiria kwa nini bakhresa kawekeza bara badala ya pemba?
 
Kwa nini haaarudi kwao Maskati? Kila kukicha ohhb sie sijui akina Al Saeed mara ohhh al Barwani mara ohhh akina al muhribi..mie nshachoka nao hawa.

Oman kuna mafuta..gesi na mfalme. Wao warudi kwao Oman znz kuna njaaa
 
Hihihi pesa si mlitupa nyinyi watanganyika😀

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
 
cape verde wana mafuta, Znz na comoro wanayo? labda wafanye fracking, we una fikiria kwa nini bakhresa kawekeza bara badala ya pemba?

Kwa sabab pemba mlikunyima miundo mbinu angalia nw sasa baada ya umeme kufika nw wat wanaekeza sana😀 tanganyika oyeeeeee

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
 
nimeshangazwa sana kuona kijisiwa cha zanzibar kuwa na kifaru cha kivita kama hiki

Linalonishangaza hapa ni kuwa hali yao kiuchumi ni mbaya sana na kwa kweli kama wanatutegemea sisi kuwalinda kulikuwa na haja gani ya wao kununua kifaru kikubwa kama hiki

27.jpg



michuzi

Kama haya mambo huyajui sio lazima uyaongeleee
 
Mtu mwenywe anashangaa kifaru hicho ni dhahiri havijui vifaru vikubwa na vya gharama,

Tanzania ina vifaru vikubwa zaidi ya kile mkuu. Pale imezingatiwa visipite vitaharibu ile artificial turf ya uwanja pamoja na zile sehemu za kukimbilia.
 
Jeshi Lina zana Za Kutosha kabisa kuihami Znz ...kadiri ya Protocal Vikosi Vya SMZ vinaruhusiwa kuwa na very limited light specified arms .....all heavy duty medium and long range hardwares...air ,navy and land capabilities and special training are only specified for the only one TPDF....na sio yeyote Yule hata Polisi wanapangiwa light arms tu
 
Kwa nini haaarudi kwao Maskati? Kila kukicha ohhb sie sijui akina Al Saeed mara ohhh al Barwani mara ohhh akina al muhribi..mie nshachoka nao hawa.

Oman kuna mafuta..gesi na mfalme. Wao warudi kwao Oman znz kuna njaaa
 
Kifaru kile ni mali ya JWTZ maana hata mtangazaji alidokezea wakti linapitishwa.
 
Haya ni masuala ya usalama na ulinzi wa nchi, hatupaswi kuyajadili. Tusitumie uhuru wa habari vibaya. Mambo ya ulinzi huwa hayajadiliwi kwa wasiohusika popote duniani.
 
Kwa nini haaarudi kwao Maskati? Kila kukicha ohhb sie sijui akina Al Saeed mara ohhh al Barwani mara ohhh akina al muhribi..mie nshachoka nao hawa.

Oman kuna mafuta..gesi na mfalme. Wao warudi kwao Oman znz kuna njaaa
 
mbona kifaru plate number inaonesha cha mwaka 74.?
 
mkuu kuna watu humu wanaongea tu bila kujua mambo au ni kuonesha zarau!

Sio vizuri hivyo wanavyofanya!

Znz ina kambi nyingi sn za jeshi na kwa kawaida ya kambi ndio maghala hayohayo ya silaha! Sasa mtu anakuja nakusema eti kimetoka kibaha! Watz tubadilike!

Mkuu watu km huyo ni kazi sn!

wewe endelea kubisha tu. Unaijua lc mbono? Ndio ilikibeba kukirudisha dar.
 
Kwa nini haaarudi kwao Maskati? Kila kukicha ohhb sie sijui akina Al Saeed mara ohhh al Barwani mara ohhh akina al muhribi..mie nshachoka nao hawa.

Oman kuna mafuta..gesi na mfalme. Wao warudi kwao Oman znz kuna njaaa
 
Mkuu, hicho kifaru ni cha Tanganyika hicho. Tumewaazima tu warembeshe hiyo shoo yao. Si unawajua kwa vya bure hao🙂 Wiki hii hii kinatiwa kwenye meli kurudishwa storage Lugalo.
Watu wenyewe si umeona kuwa wameshaanza kulalama kuwa hawana hata pesa ya kuchangia serikali ijayo ya muungano baada ya muundo wa Katiba mpya hapo 2015 tena kwa mtindo waliokuwa wakiutaka wenyewe kuwa mambo yawe ("pasu kwa pasu" 50-50).

mkuu, siku chache b4 mapinduzi day niliona convoy ya jw yenye zana hizo ikipita hapa maeneo ya suka nikajua vyaenda zenji. hawajavirudisha tu bado baada ya show?
 
Back
Top Bottom