Umsumbalembe
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 933
- 855
Gongo imemharibu hata kujua mambo kachelewa kitambo.
Hayo ni maonesho tu aka maigizo! Mbona hamuulizi wale askari wa KAR?
Gongo imemharibu hata kujua mambo kachelewa kitambo.
Walikuwa wanaonyesha kuwa vifaa vingi vya kijeshi vipi Zanzibar hivyo bara mpunguze chokochoko; au hujui kuwa kwa katiba mpya ya Zanzibar (ya sasa) Rais wa Zanzibar ni Mkuu wa vikosi maalumu vya jeshi?! sasa kakosea nini kununua kama yeye ndo mkuu wa mambo ya ulinzi visiwani; Wadanganyika bado hajajitambua kuwa nie ni Watanganyika, siku mkijitambua tu...kumekuchwa.!
Akili zingine ni kama za mbuzi,sasa wewe hupendi wao kua na kifaru?
Ujinga umewapofusha. Hawawezi onaAngalia namba JW.
najua lakini wao mbona wanasema hichi kifaru ni chao?
Weka ushahidi wapi wamesema?najua lakini wao mbona wanasema hichi kifaru ni chao?
najua lakini wao mbona wanasema hichi kifaru ni chao?
Wakati wenzenu wanatengeneza ndege zinazorushwa bila rubani na mipango ya kuhamia mwezini baada ya vita ya tatu ya dunia,nyie bado mnabishana kwa ma-vifaru yaliyopitwa na wakati teknolojia ya miaka 1940!
Nadhani hata mabalozi walikuwa wakichekea "matumboni"!
Hakuna kitu kibaya kama UJINGA!
ni vyao.hata hivyo usijari
ikitokea vita kati yake na tanganyika wale wazenj walioko huku bara ndo
watatutwanga kwa maTNT wala vile vifaru havitavuka kuja huku.