Nafikiri kwenye leseni za vyombo vya moto takriban 85% ni za hayo madaraja mawili na ndio yanaweka msongamano mkubwa kwenye ofisi za Vehicle Inspector wakitaka kurenew
Napendekeza;
1. Wenye leseni za hayo madaraja yakiisha muda wake; mtu awe anatumiwa control number na mfumo kwenye simu yake ili aende kulipia na baada ya wiki mbili aende kuchukua leseni yake huko TRA
2. Nimesema hivyo kwani naamini takriban 99% ya wenye hayo madaraja wakienda kurenew Leseni zao, wanakubaliwa bila changamoto yoyote hivyo kuna haja ya kuona namna ya kuokoa muda na kupunguza urasimu.
3. Kunaweza kuwekwa utaratibu kuwa mfumo unamtuma Control number mara moja/ inayofuata aende nk nk
na pengine mfumo uache kutuma pale muhusika anafikisha umri wa miaka 70.
4. Mapato yatokanayo na leseni yataongezeka pengine mara 3 kwani kwa sasa wapo madereva wengi tu wanaendesha bila leseni hai wakifikiri urasimu wa kuanza kufuatilia leseni (ku renew)
5. MWISHO; watu wanao endesha magari binafsi wapo makini sana; hivyo suala sijui la kupima macho nk nk ni jukumu binafsi na wanazingatia na ndio sababu pamoja na wingi wao, hawaleti ajali nyingi