#COVID19 Zanzibar: Kila Mzanzibar anayetaka Chanjo ya COVID-19 atapata, hakuna mgeni ataingia bila cheti cha Vipimo vya Corona

Katika huu muungano kuna mambo ya muungano na yasiyo ya muungano. Masuala ya afya si Jambo la muungano.

Kuna haja mashuleni kuanzia shule ya msingi kuwepo mada rasmi juu ya huu muungano.
Hivi WHO wanafanya kazi na JMT au SMZ?🤒
 
Tuhamasishe tu njia za kujikinga kwa barakoa na vitakasa mikono, but I'm not convinced kuhamasisha matumizi ya chanjo.....
 
Back
Top Bottom