Zanzibar kesho itapata uhuru wake

Wapemba gani wenye biashara za maana,biashara zote ziko mikononi mwetu Wa Tanganyika,nyinyi rudini kwenu,umkalime karafuu,mume humtaki,kuondoka huondoki,ondokeni,mtuachie Tanganyika huru.

Biashara gani mlokuwa nayo nyie? Hahahaa hii kali sasa, au ujambazi na ufisadi? Kama ni ivo sawa mnavonyie. Lakini hamuna biasharamlokuwa nayo mikononi, ata dhahabu yenu wanayo makaburu mna nini msiojiweza?
 
kwani tanganyika kwako ni kariakoo tu??
Acha kuchekesha watu wapemba mnaishi maisha ya shuda sana hapa tanganyika mpo uswahilini tu kwenye kijumba kimoja mnajazana 50, mtu anakioski tu cha kuuzia unga,mchele,pilipili, tangawizi anawake8 wanashindia ugali na dagaa,. Aa nyie wazanzibar ni shida tupu hyo baresa wenu akiamia huko atamuzia nani hayo maaskrim yake na mavyakula yake ya mangwea wakati nyie mmezoea kushindia ulojo,.

Mkuu bora sisi tunashindia urojo tunakuwa watu wenye kujali ubinaadamu kuliko wewe unaeshindia Sembe kisha ubinaadamu huujui ulivo na hata matumizi ya akili huwa magumu kwako kama sembe lenyewe. Nikuulize, kwani Bakhresa zile juice, ice cream na unga anaupeleka zanzibar mnunuzi ni mtanganyika kule? Halafu akili za sembe kweli ni za kisembe sembe, products za Bakhresa zipo Kenya, kwanini zilifika hadi kenya na wala hatuna muumgano nao? Tumia akili babaaa!!!
Kisha mkuu mpemba anaemiliki kiosk anamaendeleo kuliko mtanganyika anaemiliki kiosk, mpemba atashughulikia familia, lakini mtanganyika ni kiweka heahima bar ndio 1st priority. Then kaeni mkijua kuwa wazanzibar wapo sehemu nyingi tu duniani, na hatuna muungano na nchi izo, sasa sijui akili zenu zinawatuma mufikirie vipi kuwa wazanzibari watatimuliwa Tanganyika! Lolz
 
Na sisi WaTanganyika tuliopo Zanzibar ?
Mnafanya nini huko kila siku tu wewe ni mgeni BinMgeni mnatukanwa, mnachomewa vibanda vyenu, leo wanfuta kiuongo Ndoa za jinsia moja CHOMOKA HUKO KM HUJAOLEWA wenzako Kimataifa wanajulikana km Waliberali waachie visiwa vyao kwani haya mwaka hawatamaliza watatengana tena Waunguja na Wapemba,
waHizbu na WaAfroShiraz mwishowe itarudi yaleyale PUNDA HAPANDI MUSCAT
 
Last edited by a moderator:
Hizi siasa bwana!! Haya tunaisubiri hyo jmosi anyway good luck kwa wale wasiopenda amani, lkn duh tujitahd jmn kutokukosa maarifa
 
Mnatulisha, yaani hizi point zenu mnachekesha nyie. Wapemba mnaotaka kuwafukuza wamekupeni Ajira Kkoo, wamekujengeeni mji, wamekufundisheni ustaarabu na usafi. Wapemba wanahela mjini wewe mwenyeo unawalilia wale. Msisahau kumuondoa na Bakhresa,mtazidi kujambajamba. Zanzibar tulikuwa tunaimport vitu from india na bei ilikuwa cheeeee kuliko tunavonunua bara, kisha mnasema mbatulisha. Mnauwezo wa kutulisha? Matumbo yenu yanawashinda apo mlipo. Mnatulisha nini hasa? Mnatupa bure? Gari ikitoka Zanzibar kuja dar ilipiwe ushuru dar kuja zanzibar hamudaiwi ushuru kisha eti mnatusaidia ah, mnavituko sana . Wakati wapemba ndio wanakusaidieni na hasa apo kkoo, angalau mnapata hela ya kula kwa siku vyenginevyo mngejaa barabarani mkiomba omba!

Huko kwao wameshindwa nini, si mwende mkafanye biashara huko huko? Hawana umeme, hawana soko! Watu milioni moja na nusu wa Zanzibari. Kati yao laki nne na nusu wako bara kwenye masoko na mazao. Wakijitoa muungano tutafunga soko lao. Wauziane wenyewe kwa wenyewe tuone kama biashara zao zitaendelea.

Aidha, wazanzibar kama wazanzibar hawawezi kujikomboa pasipo kina John Okelo. Leo kina John Okelo hawako tena; zaidi zaidi kuna Al-Shabaab chini ya majangili wa Afrika Mashariki waliomo ndani ya CCM. Sasa sijui itakuwaje.
 

Huko kwao wameshindwa nini, si mwende mkafanye biashara huko huko? Hawana umeme, hawana soko! Watu milioni moja na nusu wa Zanzibari. Kati yao laki nne na nusu wako bara kwenye masoko na mazao. Wakijitoa muungano tutafunga soko lao. Wauziane wenyewe kwa wenyewe tuone kama biashara zao zitaendelea.

Aidha, wazanzibar kama wazanzibar hawawezi kujikomboa pasipo kina John Okelo. Leo kina John Okelo hawako tena; zaidi zaidi kuna Al-Shabaab chini ya majangili wa Afrika Mashariki waliomo ndani ya CCM. Sasa sijui itakuwaje.

Hahahaha! Sawa hatuna umeme because tayari tunanunua wa Tanesco ambao unasuasua, besides tuna generators already as alternative, kuna tatizo gani?

Jaribuni kufunga hayo masoko kisha tuone, naona unaongea pumba tu sasa, lakini mjue bandari ya Dar es salaam na ile ya bagamoyo, zitakuwa useless kwa kweli, mkija kibifu kiaina hiyo lazima ujue kuwa Zanzibar is the gate to East Africa sasa sijui meli zenu zitafanyaje kufika Dar bila ya kupita Katika maji ya Zanzibar!
Wadanganyika ni suitable name for your nation maana ndo mnavojidanganya. Funga soko bara, Kenya ipo karibu tu apo hujatuumiza bado.

Hujui kama kuna wazanzibari wanaishi msumbiji na wanapiga kazi kweli? Congo pia wazanzibari wapo pia.... Au mlifikiri mko peke yenu?? Dah!! Use your brain
 
Napendekeza warudi nyumbani haraka sana kabla hawajamwagiwa tindikali.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Kama wako huko MUDA wote huo na hakuna kilichowapata; Ina Maana hata LAFUDHI yao ni ya huko, lifestyle yao ni ya HUKO sidhani kama hawajiweki MBELE kwa kiherehere - sidhani hiyo TINDIKALI watamwagiwa...
 
Tunawatakia mkutano mwema na tunaomba waharakishe kutangaza huo Uhuru wa Zanzibar ili ifikapo Januari 1, 2014 Zanzibar iwe "nchi huru"
 
Zanzibar ikija tangazwa Wilaya ya Pwani ndio utulivu utapatikana katika Jamhuri ya Tanzania, nasema Jamhuri ya Tanzania, sio jamhuri ya muungano, muungano ulifanyika enzi hizo, sasa kuna Jamhuri moja tu.
 
Tunawatakia mkutano mwema na tunaomba waharakishe kutangaza huo Uhuru wa Zanzibar ili ifikapo Januari 1, 2014 Zanzibar iwe "nchi huru"

Dahh!afadhali leo kuwa umekiri kumbe z'br sio nchi huru,kuna wenzako watanganyika hawataki kuiona z'br inatoka kwenye makucha ya mkoloni mweusi.
 
Sawa kabisa waondoke,huyo Nasoro moyo ana nyumba amejenga Tanga,alipokuwa waziri,kila mara aja Tanga na familia yake kupumzika,ahame Tanga,Tanga ni Tanganyika si zanzibar.

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ana nyumba Mbezi beach, Rais wa Congo Drc Joseph Kabila ana nyumba Bahari beach..... Taarifa unazo ??

Mwaaaache Mzee Moyo apumuee..!!
 
Hivi nii Pemba inayotaka uhuru ama Unguja?
Kama waislamu wasuni na washia wanauana wenyewe kwa wenyewe sembuse Pemba na Unguja?
Mtagawanyika vipandevipande.
 
Zanzibar ikija tangazwa Wilaya ya Pwani ndio utulivu utapatikana katika Jamhuri ya Tanzania, nasema Jamhuri ya Tanzania, sio jamhuri ya muungano, muungano ulifanyika enzi hizo, sasa kuna Jamhuri moja tu.

Unadhani kwa nini nyerere alishindwa kutangaza?
 
Back
Top Bottom