Mkuu bora sisi tunashindia urojo tunakuwa watu wenye kujali ubinaadamu kuliko wewe unaeshindia Sembe kisha ubinaadamu huujui ulivo na hata matumizi ya akili huwa magumu kwako kama sembe lenyewe. Nikuulize, kwani Bakhresa zile juice, ice cream na unga anaupeleka zanzibar mnunuzi ni mtanganyika kule? Halafu akili za sembe kweli ni za kisembe sembe, products za Bakhresa zipo Kenya, kwanini zilifika hadi kenya na wala hatuna muumgano nao? Tumia akili babaaa!!!
Kisha mkuu mpemba anaemiliki kiosk anamaendeleo kuliko mtanganyika anaemiliki kiosk, mpemba atashughulikia familia, lakini mtanganyika ni kiweka heahima bar ndio 1st priority. Then kaeni mkijua kuwa wazanzibar wapo sehemu nyingi tu duniani, na hatuna muungano na nchi izo, sasa sijui akili zenu zinawatuma mufikirie vipi kuwa wazanzibari watatimuliwa Tanganyika! Lolz