we HUDHURIA UKAJIONEE NA KUSIKIA ITAKUWA KIBANDA MAITI, USINGOJE MAGAZETI
Haya majina kibanda maiti,kiembesamaki n.k yana maana gani?
we HUDHURIA UKAJIONEE NA KUSIKIA ITAKUWA KIBANDA MAITI, USINGOJE MAGAZETI
Mnatulisha, yaani hizi point zenu mnachekesha nyie. Wapemba mnaotaka kuwafukuza wamekupeni Ajira Kkoo, wamekujengeeni mji, wamekufundisheni ustaarabu na usafi. Wapemba wanahela mjini wewe mwenyeo unawalilia wale. Msisahau kumuondoa na Bakhresa,mtazidi kujambajamba. Zanzibar tulikuwa tunaimport vitu from india na bei ilikuwa cheeeee kuliko tunavonunua bara, kisha mnasema mbatulisha. Mnauwezo wa kutulisha? Matumbo yenu yanawashinda apo mlipo. Mnatulisha nini hasa? Mnatupa bure? Gari ikitoka Zanzibar kuja dar ilipiwe ushuru dar kuja zanzibar hamudaiwi ushuru kisha eti mnatusaidia ah, mnavituko sana . Wakati wapemba ndio wanakusaidieni na hasa apo kkoo, angalau mnapata hela ya kula kwa siku vyenginevyo mngejaa barabarani mkiomba omba!
mkimaliza mkutano wenu muandae na tangazo kabisa kwa wapemba wote waliopo bara wafungashe virago.hakika me naawambia mkivunja muungano hawa jamaa nawatangaza maadui zangu na popote nikiwakuta nawazingua.hatuwataki muondoke
Kwanini iwe nongwa kwa wazenji kudai haki yao,pitieni histry japo kidogo kujua tanzania ni muungano wa nchi ngpi?au hili jina tanganyika linakutieni kichefuchefu?ZANZIBAR DAIMA.
Hawa Walibelali wanataka uhuru ili wawe huru kulana
mkimaliza mkutano wenu muandae na tangazo kabisa kwa wapemba wote waliopo bara wafungashe virago.hakika me naawambia mkivunja muungano hawa jamaa nawatangaza maadui zangu na popote nikiwakuta nawazingua.hatuwataki muondoke
Zanzibar sio Nchi.
Na sisi WaTanganyika tuliopo Zanzibar ?
Mnatulisha, yaani hizi point zenu mnachekesha nyie. Wapemba mnaotaka kuwafukuza wamekupeni Ajira Kkoo, wamekujengeeni mji, wamekufundisheni ustaarabu na usafi. Wapemba wanahela mjini wewe mwenyeo unawalilia wale. Msisahau kumuondoa na Bakhresa,mtazidi kujambajamba. Zanzibar tulikuwa tunaimport vitu from india na bei ilikuwa cheeeee kuliko tunavonunua bara, kisha mnasema mbatulisha. Mnauwezo wa kutulisha? Matumbo yenu yanawashinda apo mlipo. Mnatulisha nini hasa? Mnatupa bure? Gari ikitoka Zanzibar kuja dar ilipiwe ushuru dar kuja zanzibar hamudaiwi ushuru kisha eti mnatusaidia ah, mnavituko sana . Wakati wapemba ndio wanakusaidieni na hasa apo kkoo, angalau mnapata hela ya kula kwa siku vyenginevyo mngejaa barabarani mkiomba omba!
Sawa kabisa waondoke,huyo Nasoro moyo ana nyumba amejenga Tanga,alipokuwa waziri,kila mara aja Tanga na familia yake kupumzika,ahame Tanga,Tanga ni Tanganyika si zanzibar.mkimaliza mkutano wenu muandae na tangazo kabisa kwa wapemba wote waliopo bara wafungashe virago.hakika me naawambia mkivunja muungano hawa jamaa nawatangaza maadui zangu na popote nikiwakuta nawazingua.hatuwataki muondoke
Napendekeza warudi nyumbani haraka sana kabla hawajamwagiwa tindikali.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
nyinyi waTanganyika,ardhi yote kubwa ya Tanganyika,mpaka muwende kwenye kisiwa,rudini Kwenu,ardhi kubwa.Na sisi WaTanganyika tuliopo Zanzibar ?
Wapemba gani wenye biashara za maana,biashara zote ziko mikononi mwetu Wa Tanganyika,nyinyi rudini kwenu,umkalime karafuu,mume humtaki,kuondoka huondoki,ondokeni,mtuachie Tanganyika huru.Mnatulisha, yaani hizi point zenu mnachekesha nyie. Wapemba mnaotaka kuwafukuza wamekupeni Ajira Kkoo, wamekujengeeni mji, wamekufundisheni ustaarabu na usafi. Wapemba wanahela mjini wewe mwenyeo unawalilia wale. Msisahau kumuondoa na Bakhresa,mtazidi kujambajamba. Zanzibar tulikuwa tunaimport vitu from india na bei ilikuwa cheeeee kuliko tunavonunua bara, kisha mnasema mbatulisha. Mnauwezo wa kutulisha? Matumbo yenu yanawashinda apo mlipo. Mnatulisha nini hasa? Mnatupa bure? Gari ikitoka Zanzibar kuja dar ilipiwe ushuru dar kuja zanzibar hamudaiwi ushuru kisha eti mnatusaidia ah, mnavituko sana . Wakati wapemba ndio wanakusaidieni na hasa apo kkoo, angalau mnapata hela ya kula kwa siku vyenginevyo mngejaa barabarani mkiomba omba!
kwani tanganyika kwako ni kariakoo tu??
Acha kuchekesha watu wapemba mnaishi maisha ya shuda sana hapa tanganyika mpo uswahilini tu kwenye kijumba kimoja mnajazana 50, mtu anakioski tu cha kuuzia unga,mchele,pilipili, tangawizi anawake8 wanashindia ugali na dagaa,. Aa nyie wazanzibar ni shida tupu hyo baresa wenu akiamia huko atamuzia nani hayo maaskrim yake na mavyakula yake ya mangwea wakati nyie mmezoea kushindia ulojo,.