pemba nkwetu
Member
- Apr 13, 2013
- 9
- 0
Mbona jazba sio ugomvi
Muungano wa nchi ya Tanganyika na mkoa wa ZanzibarJamuhuri ya Muungano?
,
JokaKuu sasa wanataka znz huru, muungano wa mkataba wa nini jamani!!! si wangevunja kabisa wanachoogopa ni nini?
Na Sultani naye atakuwepo ?
Kikwete aliapa kuilinda na kuitetea katiba ya JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA. Hamtaweza...
Kiongozi unaeleweka tu bila kututukana, si wabara wote tunaoona ni haki kuipeleka Zanzibar nginjanginja. Pia sio wabar wote tunaoona ni sahihi kwa serikali kufumbia macho utatuzi wa kero za muungano.Wewe mtoa MADA kama huna cha kusema bora utulie kaka,, hapa si sehemu ya kuporoja lete maneno yenye mashiko, ivi ni nani asiyejuwa kwamba Zanzibar ilipata uhuru wake tokea 64? Nani asiyejuwa kama Zanzibar iliungana na Tanganyika zote nchi 2 zikiwa huru? Nani asiyejuwa kama Nyerere alifanya hila akaiondoa na kuisambaratisha nchi ya Tanganyika kinyemela na kujificha kwenye Jamuhuri ya Muungano? Kwanini muna kichwa ngumu nyinyi Vichogo? kuweni wazalendo mudai nchi yenu ya Tanganyika kama vile wazanzibari wanavyopigania kupata nchi yao huru yenye mamlaka ambayo sasa yamemezwa na hilo gengi la Makada wa CCM, Kwa nini nyinyi samaki hamugeuki tu mukawa binadamu wa kawaida na akili timamu? daini nchi yenu Tanganyika mkataa kwao ni Mtumwa,
Kumbe mnaitegemea zenj kuitoa ccm madarakani?
Dahh!afadhali leo kuwa umekiri kumbe z'br sio nchi huru,kuna wenzako watanganyika hawataki kuiona z'br inatoka kwenye makucha ya mkoloni mweusi.
Mnatulisha, yaani hizi point zenu mnachekesha nyie. Wapemba mnaotaka kuwafukuza wamekupeni Ajira Kkoo, wamekujengeeni mji, wamekufundisheni ustaarabu na usafi. Wapemba wanahela mjini wewe mwenyeo unawalilia wale. Msisahau kumuondoa na Bakhresa,mtazidi kujambajamba. Zanzibar tulikuwa tunaimport vitu from india na bei ilikuwa cheeeee kuliko tunavonunua bara, kisha mnasema mbatulisha. Mnauwezo wa kutulisha? Matumbo yenu yanawashinda apo mlipo. Mnatulisha nini hasa? Mnatupa bure? Gari ikitoka Zanzibar kuja dar ilipiwe ushuru dar kuja zanzibar hamudaiwi ushuru kisha eti mnatusaidia ah, mnavituko sana . Wakati wapemba ndio wanakusaidieni na hasa apo kkoo, angalau mnapata hela ya kula kwa siku vyenginevyo mngejaa barabarani mkiomba omba!
Na sisi WaTanganyika tuliopo Zanzibar ?