simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,694
- 9,580
Kwa wale mikoa ya pwani pata live transmission 90.9 fm.
hatuondoki mana hamkutumwa na mtu kuja kuungana na sisi. kiherehere, njaa chuki na utapeli wa nyerere ndo ulokufkisheni apo. na ce hatuondoki ngo
Mnatulisha, yaani hizi point zenu mnachekesha nyie. Wapemba mnaotaka kuwafukuza wamekupeni Ajira Kkoo, wamekujengeeni mji, wamekufundisheni ustaarabu na usafi. Wapemba wanahela mjini wewe mwenyeo unawalilia wale. Msisahau kumuondoa na Bakhresa,mtazidi kujambajamba. Zanzibar tulikuwa tunaimport vitu from india na bei ilikuwa cheeeee kuliko tunavonunua bara, kisha mnasema mbatulisha. Mnauwezo wa kutulisha? Matumbo yenu yanawashinda apo mlipo. Mnatulisha nini hasa? Mnatupa bure? Gari ikitoka Zanzibar kuja dar ilipiwe ushuru dar kuja zanzibar hamudaiwi ushuru kisha eti mnatusaidia ah, mnavituko sana . Wakati wapemba ndio wanakusaidieni na hasa apo kkoo, angalau mnapata hela ya kula kwa siku vyenginevyo mngejaa barabarani mkiomba omba!
Mpaka muda huu uhuru bado tu? Mbona tuliambiwa ni leo au walikuwa wanamaanisha lile gazeti la CCM?
Muungano wa nchi ya Tanganyika na mkoa wa Zanzibar
mbona mapofu?munaona aibu na ujinga kusimama kudai nchi yenu ya Tanganyika iliyo na kiti chake UN., mupo upside down..,
Mnajidanganya mkijitenga mtapata misada kutoka Arabuni n akil ndogo sana.