Zanzibar imams halt gay wedding! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar imams halt gay wedding!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bikra, May 18, 2009.

 1. Bikra

  Bikra Senior Member

  #1
  May 18, 2009
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 103
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Muslim clerics in Zanzibar have blocked a bid by two gay lovers to exchange marriage vows.

  The discreet ceremony was stopped after reports reached members of the Zanzibar Imams' Propagation Association.

  Police have arrested four imams who allegedly assaulted the couple. They have also launched investigations with a view to prosecuting the partners.

  Zanzibar is a predominantly Muslim island, where acts of homosexuality are illegal and few people are openly gay.

  One of the partners is from Mombasa in Kenya and another from the island of Pemba in the Zanzibar archipelago.
   
 2. M

  Mzee Kibiongo JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2009
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Loh !! dunia imekwisha. Hii sasa ni zaidi ya Sodoma na Gomora.
   
 3. Y

  YesSir Senior Member

  #3
  May 18, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yanafanyka sana ulaya..sasa yameingia africa
   
 4. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2009
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  I'm sure they are doing it just to piss off God...lol
   
 5. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2009
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  This is too much, I hate violence but on this I think we need kuchapana kidogo ili tukae kwenye mstari, maana tunawaharibu watoto wetu. Ukiangalia movies mpya ni kuvuta mabange tu na maunga like if ndio ujanja pamoja na ushoga. Mungu atusamehe na aturehemu
   
 6. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Sodoma inarejea taratibu!
   
 7. O

  Ogah JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kudos to the Clerics.........
   
 8. M

  Mkandara Verified User

  #8
  May 19, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Lakini jamani mbona Mashoga wanaoana toka miaka?.. Namkumbuka sana Shoga mmoja Alex (Ally) aliolewa miaka ya 80 na mzungu huko Ulaya, wakirudi Bongo wakipeta mjini bila taabu...

  Mimi nadhani pamoja na mila na dini zetu lakini haya maswala yapo sana tu na hatuwezi kuyazuia isipokuwa kkama yatatumika kwa bendera za imani hizo. Nikiwa na maana Muislaam akitaka kufunga ndoa kiislaam basi hairuhusiwi, Mkristu vile vile, akiwa mwanao mzee una haki ya kukaa ndoa hiyo na kumkana mwanao iwe kumpa radhi au kumfukuza lakini huwezi kuzuia jambo hili kwa sababu halina sheria ktk serikali yetu..sijui kama nakosea lakini ndio mtazamo wangu.

  Mbali na yote haya, Mashoga na wasagaji hesabu yao leo hii ni kubwa kupindukia.. Uharamu wa dini au mila ni vitu vilivyokwisha pitwa na wakati kwa mtazamo wao. Kwa hiyo sisi tunaopinga haya tuyakane ktk jumuiya zetu za dini na mila lakini inapofikia swala la Utaifa wakuu zangu sidhani kama tunawafunza kitu hawa jamaa zetu...

  Nitarudia tena msemo wangu wa awali, Mimi kama Muislaam siwezi kumzuia Mkritu kula nguruwe hata kidogo pamoja na kwamba ni haramu kwangu, wala sintakataa urafiki, ujirani, undugu na kadhali ati kwa sababu anakula nguruwe. Na wala sidhani kama ni makosa zaidi kwa Muislaam kula nguruwe kwani Uharamu hauna dini ya kuzaliwa isipokuwa ni matendo yako ndiyo yanakufanya uwe Muislaam..

  Hivyo basi, kwa imani yanmgu iwe ya dini au Mila zangu nitakataa katakata kula nguruwe, nitakataa nguruwe kupikwa nyumbani kwangu lakini siwezi kabisa kumzuia mtu mwingine asile nguruwe naweza tu Kumkanya na kumwambia athari zake.. Uchaguzi ni wake..
  Ukiweza kutafsiri undani wa hili toka nguruwe kwenda Kisanvu cha kopo basi bila shaka utakuwa umenipata vizuri!
   
 9. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  sheria zetu haziruhusu homosexuality kabisa - nadhani sababu ya vuguvugu za haki za binadamu na demokrasia ndio maana sheria hazitoi makali yake lakini sheria inabainisha kifungo kwa homosexuals. Sikumbiki ni vifungu gani, ila nakumbuka kwa wasagaji mpaka miaka 7 na mashoga miaka 15 hivi.
   
 10. M

  Mkandara Verified User

  #10
  May 19, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Petu Hapa,
  Mkuu kusema kweli hili la sheria zetu zinakataza Homo sina habari nalo kwani sijawahi kusikia mtu akishtakiwa kwa kosa hilo labda tu wale wanaolawiti watoto wadogo. Ni swala ambalo nimeona wananchi hasa wa bara wakichukua hatua wenyewe kutokana na dini au mila..
  Na kibaya zaidi ni kwamba swala la Ushoga halina alama hasa kwa mabasha..Unaweza kuta hakimu, mwendesha mashitaka askari au hata rais mwenyewe ndiye basha. hapo mkuu kweli sheria inaweza kufuatwa?.. Jamani haya maswala ukanda wa Pwani mwendo mdundo yamekolea kisawasawa miaka na miaka..naweza sema ni Mila iloyokubalika lakini usionyeshe hadharani!
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wenzetu jinsi ''walivyoendelea'' wachungaji ndio wanaoana!
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wenzetu jinsi ''walivyoendelea'' wachungaji ndio wanaoana!
   
 13. O

  Ogah JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mkuu Bob,

  Suala la vyakula na ushoga si sahihi kwa jinsi unavyolinganisha........matumizi ya maumbile ya kiumbe hai yako very very specific (no controversy.......kama ipo naomba nielimishe), hata nguruwe/mbwa/ng'ombe nk wanalielewa hilo.........kutoka kwa Muumba.

  Suala la chakula (nyama) lina contraversy kulingana na imani ya mtu..........DON'T GET ME WRONG THOUGH........sina maana kuwa kila suala ambalo lina controversy basi kila mtu ajichukulie sheria yake.......maelezo yangu hayo ni kwa wale wenye kuamini kuwa Mungu yupo
   
 14. M

  Mkandara Verified User

  #14
  May 19, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu hapa umeniacha nje! na nasema hivi kwa sababu hiyo controversy hukuiona mwanzo kutokana bado na imani yako iwe ya dini au mila ktk maumbile..Hakuna specific isipokuwa kwa vitabu vyetu ktk kuharamisha matumizi ya kimwili mbona watu wanakula sushi au wanapiga miswaki (mafumbo) sehemu ambayo matumizi yake ni specific kwa chakula/kunywa ndio kinatakiwa kipite ili upate shibe!. yet sii kosa kubwa kuyafanya hayo isipokuwa mtazamo wake unaingia ktk usanii wa mhusika na ni sifa kubwa kwa mcheza..
  Come to think of it, kitu gani kibaya zaidi kati ya kinywa na makalio kuingia vitu visivyohalalishwa kimaumbile, kisha basi kimoja kiwe na sifa, kingine kiwe haramu pamoja na kwamba yote ni kinyume cha matumizi ya vitu hivyo..
  Siukubali ushoga kwa sababu ya imani ya dini na mila yangu kama navyokataa kula nguruwe kwa imani ya dini..at the same time ni unafiki kwa imani hizo kama nitakula sushi hivyo ndio maana nasema haya maswala mengine tuwaachie wahusika ikiwa hawatumii bendera za imani hizi za kidini na kimila kuhalalisha wanayoyafanya. Adhabu zao ziko mbinguni na mimi nitahukumiwa kwa makosa ya matumizi mabaya ya viungo vyangu iwe kula sishi au nguruwe!... Lol!
   
 15. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  ajabu hamzungumzii ma lesbian waliojazana kule including viongozi wa serikali

  this is the price you pay for uncontrolled mass tourism na romantization of Zanzibar
   
 16. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  It's look bad in our community, we have to stop it from n future generation. Hope may God will lead us on the rightways.
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hawana jipya kwani wanachofanya ni "kupaka rangi makaburi" zenj uozo mtupu! Watoto kwa wakubwa kwa wanawake wameharibika. Hakuna wanachopinga hapo zaid ya kutafuta kusikika tu
   
 18. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #18
  May 19, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  I don't have access to our penal code act, however, browsing from the internet it is apparent there is no legal recognition or protection for homosexuals under Section 154 to 157 of the Penal Code.[ame=http://en.wikipedia.org/wiki/LGBT_rights_in_Tanzania]LGBT rights in Tanzania - Wikipedia, the free encyclopedia[/ame]

  § 157
  “Any male person who, in public or private- (a) commits any act of gross indecency with another male, or (b) procures another male person to commit any act of gross indecency with him, or (c) attempts to procure a male to commit an indecent act to him, is guilty of an offence and may be sentenced to five years of imprisonment.”
  Other: § 155 prohibits “attempts” to commit offence specified in § 154 [20 years]

  [edit]Zanzibar
  In Zanzibar, an autonomous island which is part of Tanzania, the law was changed in 2004 to clarify the legality of homosexual acts. While sodomy and "unnatural acts" were already illegal, the new law imposes a penalty of 25 years in prison for sex acts involving two males or seven years in prison for sex acts involving two women. A homosexual sex act with a minor carries a penalty of life in prison.[2]
   
 19. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #19
  May 19, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  nasikia huyu balozi mpya wa afrika majuu yumo kundini humo? GT
   
 20. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #20
  May 19, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Ndoa za magay na wasagaji hapo Zenj zipo kwa muda mrefu sasa, sema labda hao walishitukiwa tu! Ndoa nyingi ufanyika chini ya pazia la kusherehekea siku ya kuzaliwa, na kama umevamia pati/sherehe hiyo sio rahisi kujua kama kuna shughuli ya arusi ndani yake.

  Zipo kumbi kadhaa za burudani hapo zenj zenye kuendesha shughuli hizo pale jamaa wanapotaka kutoka hadharani.
   
Loading...