Gays & lesbian wapo tangu enzi na enzi na ni party of our society na wengine ni marafiki zenu wa karibu na member wa familia zetu,kuwakataa au kuwanyima haki zao za msingi za kupendana na kuoana naona ni kuwaonea bure,hawa watu hawajachagua kuwa hivyo ni ndivyo walivyozaliwa na watakufa hivyo hivyo na huwezi kuwalazimisha wapende kwa namna nyingine,najua ni tough kwa watu wengi kuelewa na kuwakubali lakini at the end hope watapata haki zao,kama weusi tulikuwa considered half human for centuries na kunyimwa haki zote na kudharaulika naamini nao siku watakubalika tuu na kuwa kawaida...Europe wako mbele kwa hili na huwezi kuona wakinyanyaswa kwa namna yeyote na sasa America wameanza kukubalika kisheria kwenye baadhi ya States,Africa mtake msitake mtafuata tuu labda mkaishi mars!