Shekh Ponda: Zanzibar yatumia Shoga (Gay) kukuza Utalii

Kinkunti El Perdedo

JF-Expert Member
Nov 28, 2020
4,485
11,037
Shekh Ponda Isa Ponda,Ameitupia lawama Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar(SMZ),kwa kitendo cha kumtumia shoga (gay) R.Quest,kutoka Ulaya katika shughuli za Kukuza Utalii visiwani humo.Waziri Simai ameonekana katika picha ya pamoja na bwana Quest alipokwenda kumpokea katika uwanja wa ndege.

Pia Shekh Ponda amekwenda mbali zaidi kwa kuuliza na kuhoji kama bwana Quest akishauri njia ya kuimarisha ushoga visiwani ili Kukuza Utali, serikali itapinga?

Kitendo hiki kimetafsiriwa kama kisicho cha maadili ndani ya Tanzania.

Source: Ukurasa wa Shekh Ponda Isa Ponda katika mtandao wa X zamani ukitambulika Kama Twitter.

Ushoga.png
 
Nchi ina watu wajinga sana, ukweli ni kwamba hata viongozi wetu wengi hasa huko visiwani ni walaji wa mipododo.
Zanzibar imewahi kuwa na kiongo(xi)zi mkuu aliyekuwa anapelekewa moto na Shibu..dder.
Ikiwa tutaanza kuchagua wawekezaji au watu wa kufanya nao biashara kwa kigezo cha anatumia mtandao gani, miaka 5 ijayo hatutaweza kufanya biashara na mataifa.

Hivi hajui 75% ya misaada inatoka kwa mafirauni kama huyu?.

Note: sitetei uchafu huu but dunia imeoza hakuna mwema kwani hata Waarabu wa Dubai wananyea dada zetu midomoni kama moja ya starehe zao.

Mwisho..wapemba wenyewe majuzi wamekulana hadi mahabusu
 
Nchi ina watu wajinga sana, ukweli ni kwamba hata viongozi wetu wengi hasa huko visiwani ni walaji wa mipododo.
Zanzibar imewahi kuwa na kiongoxi mkuu aliyekuwa anapelekewa moto na Shibu..dder.
Ikiwa tutaanza kuchagua wawekezaji au watu wa kufanya nao biashara kwa kigezo cha anatumia mtandao gani, miaka 5 ijayo hatutaweza kufanya biashara na mataifa.

Hivi hajui 75% ya misaada inatoka kwa mafirauni kama huyu?.

Note: sitetei uchafu huu but dunia imeoza hakuna mwema kwani hata Waarabu wa Dubai wananyea dada zetu midomoni kama moja ya starehe zao.

Mwisho..wapemba wenyewe majuzi wamekulana hadi mahabusu
Kwa maelezo haya ni wazi kama taifa tumeshindwa kulinda maadili.
 
Shekh Ponda Isa Ponda,Ameitupia lawama Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar(SMZ),kwa kitendo cha kumtumia shoga (gay) R.Quest,kutoka Ulaya katika shughuli za Kukuza Utalii visiwani humo.Waziri Simai ameonekana katika picha ya pamoja na bwana Quest alipokwenda kumpokea katika uwanja wa ndege.

Pia Shekh Ponda amekwenda mbali zaidi kwa kuuliza na kuhoji kama bwana Quest akishauri njia ya kuimarisha ushoga visiwani ili Kukuza Utali, serikali itapinga?

Kitendo hiki kimetafsiriwa kama kisicho cha maadili ndani ya Tanzania.

Source: Ukurasa wa Shekh Ponda Isa Ponda katika mtandao wa X zamani ukitambulika Kama Twitter.

In fact ushoga Zenji sio jambo geni tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom