Zanzibar hapajatulia, Maduka yafungwa mchana huu

Namsihi Rais wa Tanzania,aitishe kura ya maoni haraka ili watanzania tuamue hatima yetu,Vurugu zote hizi ati kisa Muungano.Kumbuka hata jk original katika mfumo wa vyama vingi pamoja na 20% ndio waliotaka mfumo wa vyama vingi kuwa wachache alikubali kuwaridhisha asilimia hiyo.Rais nakuomba sana itisha kura hiyo ya maoni kama wana zuoni wengi wanavyoshauri kupitia mijadala mbalimbali hasa bbc na dw radio,Itisha kura ya maoni na ifanyie kazi mambo ya kusema kwenye maoni ya katiba mpya tusizungumzie kuvunja muungano ni hatari inabidi kuangalia hali halisi.

UPDATE
ENEO LA AMANI ROUND ABOUT LINATISHA NI MABOMU KWA KWENDA MBELE,Lakini wataalamu wanasema waliovamia baa hizo ni vijana wadogo na wanavamia wanaiba bia na wanakunywa,Inawezekana wamekodiwa kufanya hivyo ili smz na uamsho wasiingie lawamani kwa ujumla eneo la amani na daraja bovu panatisha.
 
Waandishi wengi kwenye mada hii hawana hisia kabisa ya jambo linaloendelea Zanzibar. Inasikitisha kuona watu wazima wanaandika kama watoto wa nasari skool. Hebu tupeni hoja. Jambo lolote lina sababu. Hawa vijana hawakuamka asubuhi wakaamu kufanya walivofanya. Kuna pande mbili husika nani alifanya nini ikasababisha hayo yaliotokea. Badala kuwalaumu wazanzibari in GENERAL, kwanini haingaliwi usawa wa jambo. Kama tuliungana nchi mbili, heshima iwepo na kama ni koloni la tanganyika, pia ukweli uelezwe mchana sio kujificha jificha. Wazanzibari wanadai haki yao ya kujitawala kwenye Taifa lao. Kuna makosa mtu kudai chake?.

Serikali ilikuwa rahimu sana hivo watu wakaendesha mihadhara ambayo ilikuwa ni ya kichochezi ndio maana watu wakasahau kuwa uamusho unahusu dini lakini suala la Muungano ni la kisiasa halikupaswa kujadiliwa kwenye mhadhara wa dini. Sasa hasara ndio hiyo.
 
nasi watu wa bara tuanze kuwatimua?,wanatuumizia ndg zetu kisa DINI huu ni ujinga wa karne bora muungano ufe tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom