Zanzibar bila ya Tanganyika Inawezekana

Zanzibar bila ya Tanganyika Inawezekana

waachane wa znzbr wajitenge! alafu tubaki pembeni tukiwaangalia wakianza kubaguana wenyewe kwa wenyewe .. ! waachane wajiunge na OIC "kwani itawanufaisha kushinda muungano na tanganyika" kila mwaka kuna vijana wa tanzania wanaopelekwa uturuki kusoma fani mbalimbali bahati mbaya wadhamini wanachukuwa wa znzbr wengi kushinda watu wa bara, na hawakubali post graduate untill nchi iwe katika OIC!.. kama tunawapenda wa znzbr tuwaache! na mafuta yao "ndoto za alinacha" je wale wapemba waliojaa TEMEKE VIPI watarudi kwao?!! muungano ukifa? vijana wengi wa ki znzbr wanakimbilia bara wakisema znz hakuna cha kufanya. hakuna pesa, hakuna kazi.. ! lakini wanasiasa wao hawalioni hili...

Wewe Njiwa wacha unafiki niambie mwaka gani wazanzibar wamepelekwa wengi kuliko watanganyika?
 
The Articles of Union between Tanganyika and Zanzibar

THE ARTICLES OF UNION between THE REPUBLIC OF TANGANYIKA AND THE PEOPLES' REPUBLIC OF ZANZIBAR


WHEREAS the Governments of the Republic of Tanganyika and of the Peoples' Republic of Zanzibar being mindful of the long association of the peoples of these lands and of their ties of kinship and amity, and being desirous of furthering that association and strengthening of these ties and of furthering the unity of African peoples have met and considered the union of the Republic of Tanganyika with the Peoples Republic of Zanzibar:


AND WHEREAS the Governments of the Republic of Tanganyika and of the Peoples' Republic of Zanzibar are desirous that the two Republics shall be united in one Sovereign Republic in accordance with the Articles hereinafter contained:-


It is therefore AGREED between the Governments of the Republic of Tanganyika and of the Peoples' Republic of Zanzibar as follows: -


(i) The Republic of Tanganyika and the Peoples' Republic of Zanzibar shall be united in one Sovereign Republic.



(ii) During the period from the commencement of the union until the Constituent Assembly provided for in Article (vii) shall have met and adopted a Constitution for the united Republic (hereinafter referred to as the interim period) the united Republic
shall be governed in accordance with the provisions of Articles

(iii) During the interim period the Constitution of the united Republic shall be the Constitution of Tanganyika so modified as to provide for-


(a) a separate legislature and executive in and for Zanzibar from time to time constituted in accordance with the existing law of Zanzibar and having exclusive authority within Zanzibar for matters other than those reserved to the Parliament and Executive of the united Republic;


(b) the offices of two Vice-Presidents one of whom (being. a person normally resident in Zanzibar) shall be the head of the aforesaid executive in and for Zanzibar and shall be the principal assistant of the President of the United Republic in the discharge of his executive functions in relation to Zanzibar;


(c) the representation of Zanzibar in the Parliament of the United Republic;


(d) such other matters! as may be expedient or desirable to give effect to the united Republic and to these Articles.


(iv) There shall reserved to the Parliament and Executive of the united Republic the following matters-


(a) The Constitution and Government of the united Republic.


(b) External Affairs.


(c) Defence.


(d) Police.


(e) Emergency Powers.


(f) Citizenship.


(g) Immigration.


(h) External Trade and Borrowing.


(i) The Public Service of the united Republic.


(j) Income Tax, Corporation Tax, Customs and Excise.


(k) Harbours, Civil Aviation, Posts and Telegraphs.
And the said Parliament and Executive shall have exclusive authority in such matters throughout and for the purposes of the united Republic and in addition exclusive authority in respect of all other matters in and for Tanganyika.


(v) The existing laws of Tanganyika and of Zanzibar shall remain in force in their respective territories subject-


(a) to any provision made hereafter by a competent legislature;


(b) to such provision as may be made by order of the President of the united Republic for the extension to Zanzibar of any law relating to any of the matters set out in Article (iv), and the revocation of any corresponding law of Zanzibar;


(c) to such amendments as may be expedient or desirable to give effect to the union and to these Articles.


(v) (a) The first President of the united Republic shall be Mwalimu Julius K. Nyerere and he shall carry on the Government of the united Republic in accordance with the provisions of these Articles and with the assistance of the Vice-Presidents aforesaid and of such other ministers and officers as he may appoint from Tanganyika and Zanzibar and their respective public services.


(b) The first Vice-President from Zanzibar to be appointed in accordance with the modifications provid! ed for in Article (iii) shall be Sheikh Abeid Karume.


(vii) The President of the united Republic: in agreement with the Vice-President who is head of the Executive in Zanzibar shall-


(a) Appoint a Commission to make proposals for a Constitution for the united Republic.


(b) Summon a Constituent Assembly composed of Representatives from Tanganyika and from Zanzibar in such numbers as they may determine to meet within one year of the commencement of the union for the purpose of considering the proposals of the Commission aforesaid and to adopt a Constitution for the united Republic.


(viii) These Articles shall be subject to the enactment of laws by the Parliament of Tanganyika and by the Revolutionary Council of the Peoples' Republic of Zanzibar in conjunction with the Cabinet of Ministers thereof, ratifying the same and providing for the Government of the united Republic and of Zanzibar in accordance therewith.



IN WITNESS WHERE Julius K. Nyerere, the President of the Republic of Tanganyika, and Abeid Karume the President of the Peoples' Republic of Zanzibar have signed these Articles, in duplicate, at Zanzibar, on this twenty-second day of April, 1964.



Passed in the National Assembly on the twenty-fifth day of April, 1964.
 
njaa itatifikisha pabaya, hawa jamaa kila kitu wanadhani wanaonewa tu, kwani nani aliewatuma wawe wavivu hawataki kifanya kazi au kusoma? wanadhan dini itawaletea chakula mezani eeh!
 
zanzibar bila muungano ni

uunguja na upemba ?

uzanzibari na uzanzibara?

mwarabu na mmatumbi ?

mzanzibari halisi na wakuja ?


tuwe realistic

huwezi jua thamani ya kitu hadi kikutoke

Heshima kwako Mtu wa Pwani,

Tangu nianze kusoma post zako sijawahi kuona post ya maana kuliko hii.Asante nimebonye kile kidude cha thanks.
 
Ukweli ni lazima usemwe ,Zanzibar bila ya Tanganyika inawezekana sana ,kuendelea kuwa na Muungano usioeleweka ni kujizidisha kuangamia katika dimbwi la umasikini , Mimi kama Mtanzania ningelipenda Muungano huu uliopo ujadiliwe upya na ikiwezekana ,tugawane mbao. Je wewe unasemaje ?

Baada ya hapo itakua nini? Mimi nadhani wana siasa mara nyingi hupenda kuwagawa watu ili wawatawale vizuri, kauli kama hizo hazina tija
wala hazimnufaishi mtu yeyote katika maisha ya kisasa. Ukimuuliza mtu mmoja mmoja kuhusu mfumo wa muungano hata huu uliopo hawezi
kufahamu chochote yeye kwake cha muhimu anapata mahitaji yake ya lazima na watoto wake wanapata elimu iliyo safi na wanaishi kwa amani.

Chokochoko zozote zile za kudadisi mifumo ya muungano mara nyingi zinatoka kwa wanasiasa sababu kubwa ni utawala. Hao Wazanzibar wanadhani watajiongezea nguvu za kutawala lakini wanasahau wanajipunguzia usalama yaani security.

Ukifuatilia kwa makini utagundua demokrasia katika visiwa vingi ulimwenguni imejaa matatizo, migogoro ya mara kwa mara baina ya wanachi na watawala ni jambo la kawaida. Maridhiano ya wao kwa wao ni jambo gumu sana hata kupelekea kupinduana yote ni sababu ya kupenda madaraka. Umasikini, pamoja na kukosekana kwa ajira ya kudumu kwa wananchi katika visiwa inachochea kukosa imani na watawala.

Muungano wa Tanzania japo wapo wanautoa makosa, lakini umeweza kujenga demokrasiia kwa njia ya amani na utulivu pamoja na wanachi kuheshimiana yaani tolerence. Bila ya kuwepo nadhani huko Zanzibar tungekuwa tunahesabu viongozi kila baada ya mwaka mmoja.

Udumu Muungano wa Bara na visiwani kwa vizazi vilivyopo na vinavyokuja.
 
Wewe Njiwa wacha unafiki niambie mwaka gani wazanzibar wamepelekwa wengi kuliko watanganyika?

wale wenye asili ya kipemba light skin!... wanapata rahisi kushinda weusi. huo ndio ukweli... waishi DAR/ ZNZ!
 
kwa maoni yangu, serikali tatu itakuwa ni gharama zisizokuwa na lazima kwa wa-Tanganyika. fedha za kuendesha serikali hiyo, bunge lake, etc etc zinaweza kutusaidia kuboresha mambo mengine mengi ya msingi.

Kwa nini tuwe na serikali tatu na kujiongezea gharama zisizo na msingi sana? Tukiwa na Serikali tatu, Kuna ''serikali'' moja kati ya hizi tatu itakuwa haina kazi.

Zanzibar sasa hivi wana kila kitu - bendera, wimbo wa taifa, rais wao, bunge lao etc etc. Na juzi juzi ''wamerekebisha'' katiba yao kumpa madaraka Rais wao kuchagua Mikoa na Wilaya mpya BILA KUSHAURIANA au kupata kibali cha Rais wa Muungano.

So, to hell with Zanzibar. Wachukue chao na sisi tubaki na chetu. Muungano ukivunjwa tutabaki na nchi mbili (hence Serikali MBILI): Tanganyika na Zanzibar. Inawezekana sana kuutangazia ulimwengu kuwa sasa hakuna Tanzania, kuna Tanganyika
 
Zanzibar bila Tanganyika ilikuwepo kabla ya Muungano,Swali ni Zanzibar hipi bila Muugano,tuwaachie wenyewe wajiamlie mambo yao.Itakuwa nafuu kwa Tanganyika,kwani kuvuja kwa pakacha furaha ya mchukuzi.
 
wale wenye asili ya kipemba light skin!... wanapata rahisi kushinda weusi. huo ndio ukweli... waishi DAR/ ZNZ!
Hahahahahaaa kumbe wewe ni sawa na wale watu wengine kwani kila light skin ana asili ya kipemba?unaonyesha huujui kabisa zanzibar bora ongea ya tanganyika.hebu tupe statistic za hao light skin unasema wanapendelewa kuanzia zilipoanza kutolewa hizo nafasi...wacha chuki zako binafsi wewe kama umefaulu vizuri hata ngozi yako iwe kama chungu unapewa.na wacha kuzua yasio kuwepo... tafuta kazi kaka
 
Nakulilia Tanganyika maana Znz WASHADAI CHAO
Alafu nasikia jopo lillotunga katiba ya CCM ndo hao hao wakaambiwa watunge na katiba ya Tanzania.
No wonder ina viraka vingi
 
zanzibar bila muungano ni

uunguja na upemba ?

uzanzibari na uzanzibara?

mwarabu na mmatumbi ?

mzanzibari halisi na wakuja ?


tuwe realistic

huwezi jua thamani ya kitu hadi kikutoke

Hayo ni maneno ambayo umenukuu. Labda, uniambie umetoka kufa (Mungu nisamehe). maneno hayo yamesemwa zaidi ya miaka 10 iliopita. Kama tutaendelea kusikiliza maneno yalipita na na kufuata kwa hakika sijui wapi tunakwenda.

Zaidi, aliosema maneno hayo si aliewahi kuishi katika jamii za Wanzanzibari hata mara moja. Kivipi yeye atajua? Kivipi yeye anahaki kusema kuhusu watu asiowajua? Labda awe amefanya "bahth" ya kutosha!

Kwa kumalizia, "Zanzibar peke yake inawezekana" haihusiani kabisa na Unguja na Upemba. Ingelikuwa hivyo, isemwaje kuhusu Tanganyika, kwa makabila fulani wanaojibagua na kujiona bora?
 
na tanganyika bila ya zanzibar inawezekana.

tena wanafanya maisha bara yawe magumu kama kwao walivyoyafanya-kuzalisha hawazalishi kazi ku-import tu, hivyo wanahamisha dolla na hatimaye dolla kupanda kama mawimbi ya bahari, waache wavunje tuwatimue ilala, tandika na kwingineko wanakouza mazagazaga ya kila namna. So far hakuna mtanganyika aliyewekeza zenj kama wapemba walivyowekeza hapa dar-tutaonana wabaya jamani. Hasa hawa wafuasi wa maaaaaalimu pasipo ualimu.
 
Waacheni wajitenge,nauhakika watapata jawabu baada ya kujitenga,maana wana macho na wanajifanya kama ni vipofu.
kazi kwao

waachane wa znzbr wajitenge! alafu tubaki pembeni tukiwaangalia wakianza kubaguana wenyewe kwa wenyewe .. ! waachane wajiunge na OIC "kwani itawanufaisha kushinda muungano na tanganyika" kila mwaka kuna vijana wa tanzania wanaopelekwa uturuki kusoma fani mbalimbali bahati mbaya wadhamini wanachukuwa wa znzbr wengi kushinda watu wa bara, na hawakubali post graduate untill nchi iwe katika OIC!.. kama tunawapenda wa znzbr tuwaache! na mafuta yao "ndoto za alinacha" je wale wapemba waliojaa TEMEKE VIPI watarudi kwao?!! muungano ukifa? vijana wengi wa ki znzbr wanakimbilia bara wakisema znz hakuna cha kufanya. hakuna pesa, hakuna kazi.. ! lakini wanasiasa wao hawalioni hili...
 
zanzibar bila muungano ni

uunguja na upemba ?

uzanzibari na uzanzibara?

mwarabu na mmatumbi ?

mzanzibari halisi na wakuja ?


tuwe realistic

huwezi jua thamani ya kitu hadi kikutoke
muda mwingine unapoint kumbe eeee! HESHIMA KWAKO MKUU!
 
Umasikini wa Zanzibar hausababishwi na muungano,nchi haiwezi kuendelea kwa kutegemea misaada kama wazanzibari wengi wanavyoamini!Misaada ya OIC,Oman haiwezi kuikomboa Zanzibar.Hakuna Tanganyika inachokipata Zanzibar zaidi ya kero.Kama mnaona kujitenga ndiyo suluhisho la matatizo yenu,jitengeni haraka!Tanganyika bila Zanzibar pia inawezekana!
 
Ukweli ni lazima usemwe ,Zanzibar bila ya Tanganyika inawezekana sana ,kuendelea kuwa na Muungano usioeleweka ni kujizidisha kuangamia katika dimbwi la umasikini , Mimi kama Mtanzania ningelipenda Muungano huu uliopo ujadiliwe upya na ikiwezekana ,tugawane mbao. Je wewe unasemaje ?

Kila nchi ijitegemee, siwapendi kabisa watu wa zanzibar na serikali yao ya mapinduzi maana wanajifanya jeuri huku wanafaidi matunda ya bara.

Otherwise, kama zanzibar wangekuwa na adabu Muungano ni mzuri
 
Back
Top Bottom