radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,292
Kama hakuomba rushwa kwanini kapokea? Tena alikuwa anasubiria kabisa...huyo kaomba rushwa ndio maana akawa anawapa mbinu za kuficha makosa.
hilo hata mimi ndo swali ambalo najiuliza sijaona askar polis akiwakomalia watoe pesa ili aawachie zile pesa mzungu alikuwa nazo mkononi muda mrefu wao ndo waliomshawishi huyo askar azichukue pesa nao wanahatia pia